Natafuta mpenzi

Natafuta mpenzi

upweke mbaya jamani mi mwenyewe natafuta tusaidiane kutafuta,vigezo vyako nimevikosa,juzi tu nimefikisha 42yrs old!! ntarudi!
Wee ke au me?then mwaka Jana ulikuwa na 33yrs Leo 42.Usijisahau basi
 
Wakati huu wa mwisho wa mwezi ndio mzuri Kwa kutafuta wenza
 
Daah atafutae hachoki nakushauri rudi kijijini kwenu ukatambike kwanza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom