The Eclipse
Member
- Apr 21, 2017
- 12
- 11
Mwanaume rijali hatafuti mpenzi mitandaoni.Huez mpata mwenye mapenz ya dhati mitandaoni kwani hakujui na humjui.mapenzi sio kama nyama unayoikuta buchani tayar imeandaliwa kwaajili ya kupikwa na kuliwa,mapenz ni kama maua,yanakua na kustawi taratibu huku yakipewa matunzo yote kama maji,palizi n.k.Kama una akili utakuwa umeelewa
Mbona mnaolalamika ni wanaume tu kuhusu mm kutafuta mpenzi humu jf...???Kila mtu ananjia yake ya kutafuta nanyinyi si mtafte...???
Mwanaume rijali hatafuti mpenzi mitandaoni.Huez mpata mwenye mapenz ya dhati mitandaoni kwani hakujui na humjui.mapenzi sio kama nyama unayoikuta buchani tayar imeandaliwa kwaajili ya kupikwa na kuliwa,mapenz ni kama maua,yanakua na kustawi taratibu huku yakipewa matunzo yote kama maji,palizi n.k.Kama una akili utakuwa umeelewa
yaani kujiunga na kujiunga unasaka mpenzi ungetulia uangalie tu wangekutongoza wenyewe cha msingi uweke avatar nzuri ya kuvutia halafu comments zako ziwe za kimatwi ya juu hahaha fasta unapataHabari zenu wanajamvi...!!!
Mimi ni mvulana rijali kabisa na nimekuja mbele yenu wanajamvi kwa ajili ya kutafuta mpenzi simple kabisa na mwenye vigezo vifuatavyo..;
1:Awe na miaka 18 na kuendelea.
2:Kabila yoyote ile.
3:Awe anajua kusoma na kuandika.
4😀ini yoyote ile.
5:Awe na mapenzi ya dhati na anayejua
nini maana ya mapenz na nini maana ya
Kuwa na mwanaume.
Elimu yangu niya chuo kikuu,nimeajiliwa na pia nimejiajili.
Umri wangu ni miaka 30.
Napatikana mwanza na kwa yoyote aliyotayari kuanza safari hii ya matumaini na mimi ani pm.
Asanteni sana na karibuni sana.
Nawasilisha.
hahahhhMbona mnaolalamika ni wanaume tu kuhusu mm kutafuta mpenzi humu jf...???Kila mtu ananjia yake ya kutafuta nanyinyi si mtafte...???
Weka ukweli wako tuoneSi kweli,