Natafuta mpenzi

Hi wapendwa,

Natafuta mwanaume mwenye sifa zifuatazo; Awe muislam, umri miaka 23-35, awe anafanya kazi na mwenye mapenzi ya kweli na si kudanganyana.

Mwenye sifa hizo anifollow pm
Habari Issabela mm n kijana wa kiislamu na nliwahi kuleta tangazo hapa kutafta bint wa kiislamu lakin sikufanikiwa kwa kuwa waliokuja PM walikua tayari na watoto. Kama huna mtoto tuwasiliane tunaweza kuelewana na kufikia lengo
 
Sasa hao watakayejitokeza hapa utajuaje kama hanatofauti na hao wanaokutongoza kila siku?
Utajua vp kuhusu uaminifu wao?
Halaf ukishaweza anza kudate na mtu kwa mfumo huu uliotumia huna tofaut na wale wa kimboka... umeacha wangap mtaani kwenu uje utafute humu???? Ila kama ni biashara tu bas na mm NATAKA
hahahah....
 
Kwa wanaume watu kama hawa si wakuingia kichwakichwa mana mrejesho utakaoleta hapa utakuwa wa majonzi
 
Hi wapendwa,

Natafuta mwanaume mwenye sifa zifuatazo; Awe muislam, umri miaka 23-35, awe anafanya kazi na mwenye mapenzi ya kweli na si kudanganyana.

Mwenye sifa hizo anifollow pm
Njoo pm pls.vigezo vimetimia.
 
Hi wapendwa,

Natafuta mwanaume mwenye sifa zifuatazo; Awe muislam, umri miaka 23-35, awe anafanya kazi na mwenye mapenzi ya kweli na si kudanganyana.

Mwenye sifa hizo anifollow pm
weka picha tukutathmini
 
weka sifa zako maana nina uhakika 98% hyo picha sio yako. na useme mwanzo ulikuwa unatumia ID ipi. tusijetongoza mara mbili mbili demu mmoja.
 
weka sifa zako maana nina uhakika 98% hyo picha sio yako. na useme mwanzo ulikuwa unatumia ID ipi. tusijetongoza mara mbili mbili demu mmoja.
Una uhakika n unachokiongea? Hivi n uchizi gan uweke picha ya mtu, sema lingine
 
Attachments

  • 1458221145290.jpg
    1458221145290.jpg
    125 KB · Views: 48
kwa hii operesheni ya kamanda Sirro haya tuyategemee sana humu...hiyo ni mikakati mipya ya kuendelea kuwepo...haahaaa natania tu...kila la heri
 
Sikiliza niseme kitu kimoja wapendw kam n wanaume wapo kila siku n natongozwa lakn always sio wakwli n hawn mapenzi y kweli, sasa nachotak kusem n hivi mtu ananenipend mm naomb afate vigezo nilivyotaja hapo juu saw wendw, really am serious
ukikosa njoo kwangu nakusubiri nipo tanga nauza samaki soko la ngamiani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom