Natafuta mpenzi wakike

Natafuta mpenzi wakike

IDRISOU

Member
Joined
Nov 17, 2012
Posts
26
Reaction score
8
Naitwa idrisou , napatikana Moro ila zanzibar ndio nyumbani. Natafuta mpenzi wakike ali hali anipende nimpende maswala ya dini kabira sijari. Umri wangu 24.

Bado mwanafunzi nasoma chuo Mzumbe (SHERIA).

TAFADHARI KAMA HUJARIDHIKA NAMI USINITAMANISHE NAKUNIACHANIZA 0784120800 whatsapp me.
 

Attachments

  • 1403220849724.jpg
    1403220849724.jpg
    64.9 KB · Views: 147
Umri kuanzia 20-26
Rangi yeyote.
Urefu wowote
Sina vigezo vingine
 
Dadeki kijana modo vitu vyangu kabisa
ila umri ndo umenitupa mkono
itabidi nikuite shem tu
 
Hahahahaa! Kwan una umri gani weye?

Nimekuzidi kidogo Idd ila nimetamani ningekidhi vigezo walau nami nifaidi huu muungano
make sioni faida ya muungano sijawahi kuungana na mtu wa huko viziwani
 
Naona hujali umri hapa maana hadi 26 si tatizo. Ina maana umekosa huko uraiani hadi unaingia huku msituni kwenye IDs fake? Au kwa kuweka hapa unataka sampuli nyingi kama zile za Mario Balloteli ili uchague mmoja? Kazi ipo.
 
We mschana au mvlana? Huenda ikawa haikuhusu tafadhari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom