call me on 084 774 2062.
Huyu mwizi wa kinaijeria potezeeni mazee
call me
on 084 774 2062.
Money is not a problem? Mbona ameandika zaidi kuhusu material wealth sasa?
Yap! Dr Sara kanipiga chini..............! niponipo tu!ahahaaa upo single wewe?
Hammer ndiyo gari gani hiyo?
Kuna yule mwanamuziki wa marekani enzi hizo MC Nyundo, labda ndio anamuongelea....! alikuwa akiingia jukwaani akitoka kapungua kilo moja.hammer sio gari ni nyundo.. We vipi? Santa kayumba whaat?