Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 17,306
- 19,877
Yaan ndio hajakuelewaaa kabisaaa
Nimemsoma sasa!
Yaan ndio hajakuelewaaa kabisaaa
Kwahiyo ww ni bikra wa kiume?
Wewe unatafuta vitu vingapi? Bado unatafuta maisha na muda huo huo unatafuta mpenzi. Mtafute maisha kwanza ukishampata ndio umtafute mpenzi kama alipotelea kule China.Habari wana MMU, mimi ni kijana mwenye miaka 32, bado natafuta maisha; nimeajiriwa na kampuni binafsi baada ya kuhitimu masomo yangu ya juu nchini China. Natafuta mpenzi mwenye miaka kati ya 20-32, awe tayari kupima ukimwi.
Habari wana MMU, mimi ni kijana mwenye miaka 32, bado natafuta maisha; nimeajiriwa na kampuni binafsi baada ya kuhitimu masomo yangu ya juu nchini China. Natafuta mpenzi mwenye miaka kati ya 20-32, awe tayari kupima ukimwi.