Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,100
- 72,527
Mbona kuna misamiati mizito humu jamani? Mlibelali ndio mtu wa namna gani kwani?
Ukiwa mwenyeji utaielewaaa tu
Mbona kuna misamiati mizito humu jamani? Mlibelali ndio mtu wa namna gani kwani?
stress hizi!!!
Ukiwa mwenyeji utaielewaaa tu
Domo zege a.k.a gundiHabari wana MMU, mimi ni kijana mwenye miaka 32, bado natafuta maisha; nimeajiriwa na kampuni binafsi baada ya kuhitimu masomo yangu ya juu nchini China. Natafuta mpenzi mwenye miaka kati ya 20-32, awe tayari kupima ukimwi.
Mimi ni Kijana wa KIUME natafuta mpenzi wa KIKE.
Toa Uzi wako.huku tuna ukame wa kutafuta kazi peleke MMU sitaki kuona huku.
Soma alama za nyakati sio kipost tuu
.
Mbona kuna misamiati mizito humu jamani? Mlibelali ndio mtu wa namna gani kwani?
Tatizo ana kamba mguunii
Aikate....haoni kila kukicha vilio na alivyo hivi ampate mbulula mwenzie atalizwa chezea mapenz wewe
Amekaa china karud bado hana swaga mbombo ngavu
aha aha Mlibelali ni a.k.a Obama
Habari wana MMU, mimi ni kijana mwenye miaka 32, bado natafuta maisha; nimeajiriwa na kampuni binafsi baada ya kuhitimu masomo yangu ya juu nchini China. Natafuta mpenzi mwenye miaka kati ya 20-32, awe tayari kupima ukimwi.

Huyu hata bikra haijui wakuu!njoo nikufundishe bure kabisa...
aha aha Mlibelali ni a.k.a Obama