Natafuta mpenzi wa kike ili tuwe mwili mmoja

Ndio wewe uliyefungua ID ya "yako ni ndefu na nene"
Halafu unatangaza kuwa unado. Kweli JF ni Chaka.
 
changu ni changu ukiwa na pesa utachagua umpendaye lkn ukileta song zako hapa sijui tirarira nimemaliza chuo tirarira nimepata kazi wakati humtumii hata salio huwezi pata msichana hapa!

Punguza maneno bali weka vitendo!Muite chemba hapa unayeona anakuvutia akiandika omba namba yake jaza salio then muache yy aongee!

Ehehehehe

ha ha ha una balaa ww lol
 
Last edited by a moderator:
Unaonyesha umewahi kuitekeleza sheria iliyosainiwa UG juzi kati. Unakutana na wadada wangapi apo na taun unakopita? Acha udomo Zege!!
 
hi wapendwa, mimi ni kijana wa kiume nina umri wa miaka 24. Nimemaliza degree yangu ya kwanza mwaka 2013 chuo kikuu cha Dodoma (UDOM). sasa nimefanikiwa kupata kazi NSSF Dodoma kama assistant Accountant. So napenda kutumia fursa hii katika uzi huu hapa JF kutafuta rafiki wa kike ili tuweze kuwa pamoja nami niyafurahiye maisha kama wenzangu wenye wenza wao wanavyofurahia. kwa mwanamke au msichana atakaye ridhia naomba tuwasiliane kwa namba ifuatayo 0776305744. Ahsanteni sana, Napenda kutanguliza shukuran zangu kwenu.

Duuuuuh kweli kusoma kuna mda hakusaidii jaman sasa hiyo ada ya wazazi wako na rasilimali za serikali umepoteza za nini yaani hata mwanamke unamtafuta kwenye internet, nakushauri nenda buguruni kaka, otherwise rudisha elimu yako shule ili ubaki mkavu.
 
hahahaaaa umenikumbusha duuu

uzee mwisho ng'ong'ona social kila mtu honeyyyyy
 
nashukuru sana, wanawake Watatu wamekwisha wasiliana nami, mmoja yuko hapahapa Dom, na tutaonana naye kesho jumamosi. wengine wako Moro na Dar.
 
kama kuzaliwa mnazaliwa tofauti na kama kufa mnakufa tofauti sasa kuwa mwili mmoja unamaana gani
 
Back
Top Bottom