ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,304
Awe mbinafsi kufuru,si lazima awe mzuri,awe mdokozi pia muhimu zaidi awe ameshawahi kusutwa mara kadhaa.
Sasa si unisaidie kutengeneza au ukiniambia hivyo hiyo wrong inaisha? Mungu hapendi ujue.something is wrong in ur brain,you and those who control this site
hapend ww unavyofanya sio mm.Sasa si unisaidie kutengeneza au ukiniambia hivyo hiyo wrong inaisha? Mungu hapendi ujue.
Hahahah !! Una akili sana aisee,umejuaje?yote ni majibu.
Kuna matatu...
1. Una mzaha
2. Haupo vizuri kichwani!
3. Umepewa masharti na mganga
Unataka mchumba mwenye pesa wakati babayako hanakitu kua nahuruma kama mamyako alivomuonea huruma baba yako
Kuna matatu...
1. Una mzaha
2. Haupo vizuri kichwani!
3. Umepewa masharti na mganga