Natafuta mpenzi (mchumba)

Kijana unapoteza time. Unasubiria embe chini ya mnazi..
Huwa nikiona thread kama hizi huwa najiuliza hawa ni Aliens au binadamu mwenzangu hapa dunian wanawake wako X2 ya sisi wanaume hata tukipewa kila mtu 2 watabaki wengi sana..
Nakushauri kuwa smart, jipende, kuwa jasiri kumtokea mwanamke yeyote ukishindwa omba namba ya simu umtongoze kwa sms..
Pia umesema unaelimu ya diploma so utakuwa umeajiriwa au umejiajiri!! Wanawake wa sasa wapenda pesa so ukiwa na chapaa utawapata wengi..
Alafu nakushauri single mother ni shida japo sio wote utapata BP stress na utakufa siku sio zako kuachana na mzazi mwenzake ni ngumu, sasa utalea mtoto alfu unachapiwa chagua moja..
27 ni kijana mdogo sana kulalamika umekosa mwanamke alafu unatudhalilisha midume..
 
Umezunguka dar nzima umewakosa wenye hizo sifa tajwa!!!!?
Kama umewakosa nakushauri urudi kijijini kwenu hopefully utawakuta kibao 2..
Wish u all the best
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom