Nilitaka nikuunganishe shost wangu ila km Muonekano wako(profile) ndio huo nimeshindwa kaka.hata hio juu hapo nipicha yangu pia
Don't judge a picture..wapo watu wengi sana kwene picha hawana muonekanao sawa na ukimuona live.Nilitaka nikuunganishe shost wangu ila km Muonekano wako(profile) ndio huo nimeshindwa kaka.
Namjua shoga yangu atazingua tuhbanapenda men awe presentable, socialble and economicable well