Asante sana Shem wangu ngoja nipambane huu upweke kuishi alone mhmhm nimechoka shemAaah shem lakeeee shemeji la duniaaa pambana shem soon utakua senior
mapema saaana😂Kwa nini umedanganya elimu?Umeanza kutokuwa muaminifu.
Mkuu elimu yangu ni ya kidato cha nne kwa maana ya "Form Four".Kwa nini umedanganya elimu?Umeanza kutokuwa muaminifu.
Sawa.Hizo alama za "......" unamaanisha nini kila uandikapo neno?Hakuna swali la kijinga duniani. Naomba ujibu bwana harusi mtarajiwa.Mkuu elimu yangu ni ya kidato cha nne kwa maana ya "Form Four".
Kuwa mume bora haimaanishi lazima uwe na elimu ya Diploma au Degree.
Vivyo hivyo kuwa "Mke Bora" haimaanishi lazima awe na elimu kubwa ya Diploma au Degree lakini ikitokea akawa na sifa hiyo basi ni jambo jema na la kumshukuru Mungu kwa sababu familia itakuwa umepata mama mwenye elimu na anayeweza kuwaongoza vema watoto katika malezi na mengine mengi ya kidunia
Mkuu inawezekana kutokana na elimu yangu ndogo nikawa nakosea matumizi ya hizo alama either kwa kujua au kutokujua.Sawa.Hizo alama za "......" unamaanisha nini kila uandikapo neno?Hakuna swali la kijinga duniani. Naomba ujibu bwana harusi mtarajiwa.
Ni vema na haki yako kuonesha unyenyekevu na kujishusha utafutapo mke.Vipi kuhusu kuoa mke mwenye masters:Huoni kwamba mtakuwa wawili wenye dunia inayotofautiana sana kimaono ilhali wewe ni "fomfo D"?Mkuu inawezekana kutokana na elimu yangu ndogo nikawa nakosea matumizi ya hizo alama either kwa kujua au kutokujua.
Lakini ninachomaanisha hapo ni msisitizo wa kitu muhimu cha kuzingatia kwa maana ya point to note by the reader.
Kama nimetumia kimakosa basi nadhani kwa sababu ya elimu yangu hiyo ya kidato cha nne D.
Kwa mtazamo wangu sidhani kama mwanamke akiwa na masters degree itamfanya aukane uanamke wake hasa kwa kuzingatia "gender roles".Ni vema na haki yako kuonesha unyenyekevu na kujishusha utafutapo mke.Vipi kuhusu kuoa mke mwenye masters:Huoni kwamba mtakuwa wawili wenye dunia inayotofautiana sana kimaono ilhali wewe ni "fomfo D"?
Ok.Unapendelea awe na masters katika nini?Sheria au Elimu?Maana tusingependa kuamulia ugomvi kila mara kuhusu "contempt,jealousness & equal rights within your marriage"!Kwa mtazamo wangu sidhani kama mwanamke akiwa na masters degree itamfanya aukane uanamke wake hasa kwa kuzingatia "gender roles".
Ndio maana nimesema mwanamke mwenye elimu kuanzia kidato Cha nne au zaidi. Maana yangu ni kuwa wapo wanawake wasomi na wenye nafasi nzuri au kazi nzuri wanawajibika katika nchi yetu lakini kutokana either na elimu zao or nafasi zao za kazi katika jamii wanaume wanaogopa kuwatongoza na mwisho wa siku wanaendelea kuwa single simply because of men inferiority kwamba huyo ana elimu kubwa au kazi nzuri au ana cheo kikubwa atanisumbua. Lakini tambua kuwa nao ni binadamu na wanahitaji mwanaume bora anayeweza kusimama kama baba na Kiongozi wa familia bora.
Kifupi ni kuwa cheo au elimu yake ni huko kazini lakini akifika ndani anavaa uhusika kama "mke na mama bora wa familia by considering gender roles " lakini akishapanda V8 yake kuelekea kazini kwenye majukumu yake basi yeye ni Boss wa huko and I will respect that for 100% including supporting her where necessary.
Mkuu labda nikukumbushe kitu. Mwanamke anayejitambua na kutambua thamani ya "Mume" always anakuwa "loyal" kwa husband au mpenzi wake no matter kiwango Cha elimu alichokuwa nacho au cheo alicho nacho.Ok.Unapendelea awe na masters katika nini?Sheria au Elimu?Maana tusingependa kuamulia ugomvi kila mara kuhusu "contempt,jealousness & equal rights within your marriage"!
Vema zaidi.Ila,jitahidi umpate aliye "loyal" kwako.Akiwa "royal" na akajiweka daraja hilo utapata mushkeli.Mkuu labda nikukumbushe kitu. Mwanamke anayejitambua na kutambua thamani ya "Mume" always anakuwa "royal" kwa husband au mpenzi wake no matter kiwango Cha elimu alichokuwa nacho au cheo alicho nacho.
Kwa hiyo awe ana elimu ya Diploma ya record management au LLB au masters of Engineering, MBA au Education au CPA hivyo vyote ni vyake yeye, na havina uhusiano wa moja kwa moja wa yeye kuwa mke bora na mama mzuri wa familia.
Mwanamke anayejikweza kwa elimu yake au cheo chake kukihusisha na ndoa yake likely she is feminist na kamwe hawezi kuwa na nafasi nzuri ya kuwa MKE na mama bora wa familia.
Na kulingana na tangazo langu mwanamke mwenye sifa ya "feminist" hawezi ku-qualify. Hivyo elimu yake asi-ifanye kuwa ndio sifa ya yeye kuwa mke bora, Mimi sihitaji elimu yake.
Mkuu asante sana. Maana yangu ilikuwa hiyo "loyal" , sema hili ni tatizo langu la kuishia form four D, na nilijieleza mapema kuhusu hilo.Vema zaidi.Ila,jitahidi umpate aliye "loyal" kwako.Akiwa "royal" na akajiweka daraja hilo utapata mushkeli.
Ukikwama useme shem make haya mambo pia koneksheni inahusikaAsante sana Shem wangu ngoja nipambane huu upweke kuishi alone mhmhm nimechoka shem