Natafuta Motherboard ya Lenovo Ideapad 100

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
24,741
2,000
Angalizo tu, IdeaPad 100 inakuja na Cpu kuanzia celeron mpaka I series, na Cpu zake zimechomelewa hivyo ni part ya Motherboard,

Unaweza ukadowngrade vibaya mno bila kuwa makini hapo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom