Natafuta motherboard ya A 71

Natafuta motherboard ya A 71

Quimica

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2018
Posts
1,117
Reaction score
1,391
Habari!!mwenye Motherboard ya samsung A71 au anayemjua fundi ambaye anauza au mtu yeyote anichek inbox sababu mafundi niliyowapelekea simu Yangu A71 imewashinda ,au Ambaye anauza A71 Used but clean kwa 500k anicheki ,napatikana Muhimbili Dar-es-salaam
 
Simu yako ilikua na shida gani
 
Hivi ulisema inawaka lakini haina network?
 
We jamaa 500k motherboard? Si unanunua simu mpya hapo. Kama uko serious, nicheck PM.
 
Ohoo sikukuelewa boss. I thought unataka motherboard kwa 500k. Anyway nicheck PM tunaweza fanya biashara/nikakusaidia.
 
Anayetaka Samsung note 9 kama spea ninayo imedondoka
kioo ndo kimepasuka inawaka nipe offer yako
IMG_20211225_143227.jpg
 
Back
Top Bottom