Natafuta monitor ya desktop

katika vitu ambavyo unatakiwa usiwe mbahili ni monitor. sababu moja kwa moja inahusika na macho yako.

tafuta monitor nzuri led/lcd yenye resolution nzuri kama 1080p au ikishuka sana 900p na ukitafuta used zinapatikana hadi chini ya laki.

nenda machinga complex utapata za kila aina
 
Natafuta monitor ya desktop iwe flat na bei ya chini isizidi elfu 50 kwa yeyote aliyonanayo anicheki whasp 0765791233, au 0784791233

Mi ninazo za Dell na Hp, resolution nzuri 1080p, bei 70,000/= njoo uchague ntakupunguzia kdg.
0713322856
 
Ninazo pia dell na HP. Monitor na desktop Kwa uhitaji nicheck kwenye Whatsapp yangu 0778080031
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom