ahh. mi sina pozi za kwenye kideo
umejuaje?. mimi nakufaa kweli. tutatengeneza mchana au usiku?. nipm basi nikutafute. siku nyingi kweli sijauza sura. je utaniweza?. mianatengeneza mwenyewe una umbo la kimodo?
nahisi huyu nokiatochi anataka wanaume tu. wewe utaweza kucheza kama besta?. miaunaniruhusu nikatokeleze kwenye kideo? mia
tuseme hujui kama mimi ndo nliimba tanga kunani?. acha kuchezea koki weye utalowa!..shaurilo!. hahahaaa...!!!. miaWeee!! Husninyo huyo figganigga anahusikaje hapa? mia
Mmmmmmhhhh haya.......style nyingine za kutongoza bana!
Halafu unavyonifanyia sio vyema..........unataka nikose mchongo eeeeeh.......
Afu huyu Nokia tochi si tulishaambiwa tujihadhari nae???ladies be warned otherwise at ur own risk..
Halafu unavyonifanyia sio vyema..........unataka nikose mchongo eeeeeh.......
Niambie mpenzi
umejuaje?. mimi nakufaa kweli. tutatengeneza mchana au usiku?. nipm basi nikutafute. siku nyingi kweli sijauza sura. je utaniweza?. mia
heeeee!tena?
utajijuuuuu!
jishaue tu lione vile!