Natafuta mnunuzi wa Sungura

Natafuta mnunuzi wa Sungura

we ashakwambiaa yupo dar...ko anauza kama soko la dar linavoenda....wewe unataka auze 5000 kama za bei za vijijini....huoni kama nikumtia hasaraa...
Nmekuambia bush ndo wanauzwa 5000 kwa hapo dar namuunganisha na jamaa amuuzie kwa 10,000 anasema bei ya mkaa!. Kwa 20,000 sungura sio bei fair watanunua wadosi tu.
 
ye huyo jamaa yako anauza kama kitoweo au anauza kwa watu wengine tenaa??
 
Wewe unauza sungura au unataka kujua anayenunua anawapeleka wapi?.
Ndo maana nasema uza tu kwa 20,000 biashara hiyo siiwezi yaan unataka kupanga na matumizi ya kitu unachouza?
 
come oon usikute jamaa nayy ni dalali ndo maana anataka kwa ten....ili yeye akauze kwa twenty....huyuu jmaaa anataka bei nzuriii....kama huiweziii achana nazooo. tena usiletee majunguu ya sijui akauze kwa wadosi
 
Watanzania tuna roho mbaya sana na hatupendi kuona mafanikio ya wengine!!!...

Yaani mtu unashindwa nini kupita kimya kimya katika jambo lisilokuhusu mpaka unatoa maneno ya karaha kwa mwenye uzi!!!....

Tujifunze kutiana moyo katika mambo yanayotujenga na sio kuangushana!!!!

Kama una jambo la kumshauri mtoa mada kuhusiana na bei basi mfuate chemba na umueleweshe na sio kufanya kama unamzodoa na kumfanya aonekane tapeli na kuharibu taswira na biashara ya mhusika!!!!

Wakati mwingine kwa kufanya hivyo unaweza kuwa umeharibu maisha ya mwenzako bila kujua kwa kuvuruga chanzo cha mapato yake!!!!!

Muungwana ni vitendo!!!
 
come oon usikute jamaa nayy ni dalali ndo maana anataka kwa ten....ili yeye akauze kwa twenty....huyuu jmaaa anataka bei nzuriii....kama huiweziii achana nazooo. tena usiletee majunguu ya sijui akauze kwa wadosi
Kwa Watanzania walivyo unaweza ukamuambia nipeleke wanapouza hao sungura kwa 5000 akakosa pa kukupeleka!!!...
 
Wewe ndo unaleta majungu....pumbavu sana Wewe kwan kama jamaa no dalali wewe kinakuwasha nini?. Acha umbea awe dalali au awe anaenda kufanyia matambiko wewe hayakuhusu suala ni biashara baaasi.
 
if its business then lets talk katika mtazamo wa biasharaa....kama jamaa yako anataka faida na huyu mwana anataka faida.....afu unaweza ongea bila tukana ...na bado ukaelewekaa vyemaa kabisaa.....
 
Kwa Watanzania walivyo unaweza ukamuambia nipeleke wanapouza hao sungura kwa 5000 akakosa pa kukupeleka!!!...
Nmekuambia huku niliko wapo wengi tu kwa 5000 na jamaa yupo dar huwa anawafuata hapa kwa bei hiyo lkn kwa dar angechukua kwa 10,000. Mwishowe anajibu 10,000 bei ya mkaa. Nani sasa anaharibu biashara yake kama sio mhusika mwenyw? Bei ya mkaa maana yake nini kwanini asiseme tu bei hiyo siuzi
 
if its business then lets talk katika mtazamo wa biasharaa....kama jamaa yako anataka faida na huyu mwana anataka faida.....afu unaweza ongea bila tukana ...na bado ukaelewekaa vyemaa kabisaa.....
Mi nmempa ofa ya 10,000 mnajibu bei ya mkaa,kwanini asiseme tu 10,000 hailipi?. Bado unasema majungu mara oooh jamaa ni dalali so what?,kwan kuwa dalali ni kosa?. Matusi umeyaanza wewe nami mmekujibu kama ulivyo mpumbavu pia kumbuka jamaa hata kama anawauza kwa 50,000 ni yeye suala kama 10,000 achukue kama haimlipi basi atafute kwingine
 
we sidhani kama unafanya biashara ......kama unafanya biashara u have a long way to go.....kama kuambiwa ten hailipi ushapanic...
 
Nmekuambia huku niliko wapo wengi tu kwa 5000 na jamaa yupo dar huwa anawafuata hapa kwa bei hiyo lkn kwa dar angechukua kwa 10,000. Mwishowe anajibu 10,000 bei ya mkaa. Nani sasa anaharibu biashara yake kama sio mhusika mwenyw? Bei ya mkaa maana yake nini kwanini asiseme tu bei hiyo siuzi
Mimi naamini wewe ni miongoni mwa watu waliostaarabika na waelewa hapa JF....

JF imeharibika kiasi cha kushindwa kumtambua Mtu anayekushauri vyema au anayekukejeli!!!!!....wote wanapitia njia hiyo hiyo!!!...

Inawezekana mtoa mada akawa anapima upepo wa bei wa soko la sungura kwa Dar es salaam na ni mara yake ya kwanza kufanya biashara hiyo!!!!....

Kama una nia ya kumsaidia ki biashara kijana mwenzio mfuate upenuni umshauri

Unaonekana una uzoefu na hii biashara
 
Ok nmekuelewa mkuu!. Mi nilikwazika kujibu bei ya mkaa 10,000. Angejibu tu kuwa 10,000 hailipi kwakuwa gharama za uzalishaji ni kubwa ningeelewa na ningeachana na biashara maana ni kawaida kushindwana ktk business.
 
Real Gentleman

Bravo
 
we sidhani kama unafanya biashara ......kama unafanya biashara u have a long way to go.....kama kuambiwa ten hailipi ushapanic...
Huwa unasoma comments kabla ya kuamua kupost? Nadhan wewe ndo una matatizo maana unarukia tu. Hivi angesema hailipi kwa 10,000 ningeachana nae maana ni kawaida but tatizo kauli ya "ten ni bei ya mkaa" ndo maana basi awauzie madosi wasiotumia mkaa
 
Hana tofauti na yule aliyefugishwa mojoka na muwekezaji akimuahidi soko huko ughaibuni, sasa mijoka imekuwa soko hakuna muwekezaji katoweka kusiko julikana na mijoka inataka kummeza mfugaji.[emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom