Natafuta mnunuzi wa Sungura

Natafuta mnunuzi wa Sungura

Sungura? Wanafaida gan yan kijan unakalia kufuga sungura

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni biashara pia kama biashara zingine
Screenshot_20180901-142940.jpg
 
Akae nao wamfilisi chakula!. Bei ya mkaa 10000 kwa sungura?. Huko vijijin mpaka 5000 bonge la sungura unapata

JF kuna vichaa wengi sana!.
gharama ya kuwahudumia kijijini ni rahisii sanaa sababu wanakula tu majani..ila kwa maeneo ya taun kama dar ni pumba na mambo kibaooo...ko usilinganisheee
 
gharama ya kuwahudumia kijijini ni rahisii sanaa sababu wanakula tu majani..ila kwa maeneo ya taun kama dar ni pumba na mambo kibaooo...ko usilinganisheee
Nan kakuambia wanakula tu majani?. Pia elewa nguvu ya soko hivyo kama alifuga kwa gharama kubwa ili auze kwa gharama kubwa basi wapo wanafuga kwa gharama ndogo na wanauza kwa gharama ndogo hivyo kama bei ya 5000 ni ya mkaa acha akae nao
 
we ashakwambiaa yupo dar...ko anauza kama soko la dar linavoenda....wewe unataka auze 5000 kama za bei za vijijini....huoni kama nikumtia hasaraa...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom