Nauza mkojo wa sungura. Nipo Moshi mjini

Chifu mkuu

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2025
Posts
857
Reaction score
926
Napatikana kata ya Pasua manispaa ya Moshi mkoa wa Kilimanjaro.
Nina dumu tano ( Lita 20 @ =Lita 100) bei ni kuanzia tsh 15,000/=@ Lita kulingana na idadi ya lita unazohitaji.
Kwa wale wasiojua mkojo wa sungura hutumika kama mbolea ,kinga na dawa ya kuua wadudu hasa katika bustani za mbogamboga na mazao mengine.
Ukitaka faida zaidi za mkojo wa sungura ingia google uandike "FAIDA ZA MKOJO WA SUNGURA " Kuna makala nzuri iliyoandikwa katika gazeti la mwananchi ikibainisha faida za mkojo wa sungura.
Kwa anayehitaji kununua mkojo wa sungura wasiliana nami Moja kwa moja kupitia namba zifuatazo.
0717 445 411.
Thank you very much.
 
tutasikia mengi mwaka huu!
 
Kuna boya anatafutwa hapa apigwe na kitu kizito chenye ncha kali utosini. Na atapatina tu, believe me!

mrangi

Nyau de adriz
 
Napatikana kata ya Pasua manispaa ya Moshi mkoa wa Kilimanjaro.
Nina dumu tano ( Lita 20 @ =Lita 100) bei ni kuanzia tsh 15,000/=@ Lita kulingana na idadi ya lita unazohitaji.
Kwa wale wasiojua mkojo wa sungura hutumika kama mbolea ,kinga na dawa ya kuua wadudu hasa katika bustani za mbogamboga na mazao mengine.
Ukitaka faida zaidi za mkojo wa sungura ingia google uandike "FAIDA ZA MKOJO WA SUNGURA " Kuna makala nzuri iliyoandikwa katika gazeti la mwananchi ikibainisha faida za mkojo wa sungura.
Kwa anayehitaji kununua mkojo wa sungura wasiliana nami Moja kwa moja kupitia namba zifuatazo.
0717 445 411.
Thank you very much.
Kwanini usiuze mkojo wako mwenyew nae sungura auze kivyake? maliasili mko wapi au hii sio kazi yenu?
 
Nikiuza wakwangu utanunua?! Sungura wapo aina mbili.
Kuna sungura wa kufugwa na sungura pori. Mimi Nauza mkojo wa sungura wa kufugwa na ninafuga sungura hivyo mkojo wake naundaa mwenyewe.
Maliasili hawadeal na sungura wa kufugwa kwakuwa wao wnadeal na wanyama wa porini na sungura wa kufugwa sio mnyama wa porini.
 
hii ishu kuna wakat iliwika sana, watu wakaambiwa wafuge mkojo utakuwa unapelekwa kenya, sijui iliishiaga wapi,

kwa nn usitafute soko hapo kenya mkuu, pitia taveta hapo.
 
Hii project watu walishaingizwa Chaka wakapigwa za uso, naona unataka tu kuwakumbusha machungu
Uwepo wa baadhi ya watu matapeli kumepelekea watu kudhani kwamba watu wote ni matapeli kwahiyo kila taarifa inayotolewa watu kudhani kuwa mtoa taarifa ni tapeli.
Mimi ninafuga sungura na mkojo wao ninaukinga na kuuandaa mwenyewe.
Mtu ukitaka njoo Moshi mjini nikupeleke hadi kwenye mabanda mahala ninapofugia nikuonyeshe hadi njia ninazotumia kuukusanya mkojo huo.
 
Dili limegeuka dirisha.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Fatilia kenya wiki iliyopita nilisikia BBC wanapiga pesa.
 
...mkojo wa sungura.... 😀 😀 hauna mayai ya kwale??
 
Niliwahi utumia..aise ni mbolea nZuri mno jani linakua kijanii..ila mbona wewe una bei? Mi nilinunua 5 lts kwa 10000/-
 
Kama haujuwi kitu si ukae kimya tu,siyo vizuri kuingilia na kuchafua biashara ya mtu.Mtu amejiongeza anauza mkojo wa sungura anakuja mtu mara anatafutwa apigwe mtu,mara sijuwi mayai ya kware,watanzania wengi ni maboya lakini lakini wanajifanya wajuwaji.Big up Mkuu we skilizia wenye uhitaji watakucheki tu.
 
Nadhani ufate ushauri wa wale wanaopendekeza uangalie soko Kwa upande wa Kenya, watanzania wengi ujuaji mwingi huku vichwani hamna kitu, ndio maana kila uchwao wanaliwa vichwa na matapeli, mara deci, mara Mr kuku, hawajakaa sawa kalynda, hawajageuka kushoto sijui LBL...Mwisho kabisa li CCM linawashughulikia ipasavyo!! Wengi wamechanganyikiwa!
 
Pasua ni kubwa sana, uko boma mbuzi,sokoni,shuleni,msikitini au wapi? Isijekuwa ni matindigani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom