Natafuta mmoja JF wa kunipa hii!

Yaaani umekimbia chumbani kumbe sebuleni ndio unakuja kudai hiki nimekosea nini lakini???
Au hunitaki tena baada ya kuwa na chuchu ?
Ni kwa faida yetu babe
Mke wa pili wa mtu unaniita tena mimi apa babe?![emoji848][emoji848][emoji848]
 
UKISIKIA PEPO YA DUNIA NDIO HIYO

Wanawake kama hawa sijui wako wapi siku hizi au sijui wameshapotea kwenye ramani ya dunia!


Wanawake wasasa bomu tupu(sio wote)

Vichwa maji
Wanachojua wao ni hela tu
Hawana mapenzi ya dhati
Hawajui kudekeza, hawajui kulea, hawajui kukaa na mume.. Wao wapo wapo tu kama mizimu ya NGONO
Wanangonoka na kila mtu apitae.. Hawaijui hata thamani yao..Wapowapo tu kama misukule

HONGERA KWAKE OBAMA

Wife material kama wa obama sijui wanapatikana wapi nikajichagulie namimi nijirambe!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…