Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,729
- Thread starter
- #21
Pole ana si kwa povu hili😀😀UKISIKIA PEPO YA DUNIA NDIO HIYO
Wanawake kama hawa sijui wako wapi siku hizi au sijui wameshapotea kwenye ramani ya dunia!
Wanawake wasasa bomu tupu(sio wote)
Vichwa maji
Wanachojua wao ni hela tu
Hawana mapenzi ya dhati
Hawajui kudekeza, hawajui kulea, hawajui kukaa na mume.. Wao wapo wapo tu kama mizimu ya NGONO
Wanangonoka na kila mtu apitae.. Hawaijui hata thamani yao..Wapowapo tu kama misukule
HONGERA KWAKE OBAMA
Wife material kama wa obama sijui wanapatikana wapi nikajichagulie namimi nijirambe!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unachuma dhambiSasa mwanamke gani wa kukudekeza hivyo mkulima wa mahindi?
Uwe rais udekezeke.



Ndio nikwa faida yetu tu ndio nimekubaliMke wa pili wa mtu unaniita tena mimi apa babe?!![]()
Akili za kitajiri kuomba/kunyenyekea hela za watu
Hakua napesa sawa lkn Michelle aliona potential kwa jamaa ndio maana alijiweka, Hela huna hata mikakati ya kujinasua hauna sasa hilo si furushiUyo alikuanae hata kabla ya urais
Uyo sio wanawake zenu wa kibongo wanaoendeshwa kwa TAMAA ya maisha
Sent using Jamii Forums mobile app
"Apo kwenye mikakati " umeeleweka sana..Hakua napesa sawa lkn Michelle aliona potential kwa jamaa ndio maana alijiweka, Hela huna hata mikakati ya kujinasua hauna sasa hilo si furushi
Mwanaume asie na pesa wa kazi gani sasa? Yani animwagie shahawa zake hata hela ya sabuni hana huo si ufala.Akili za kitajiri kuomba/kunyenyekea hela za watu
Hamtaisha kudhalilishwa tena mjidai kulialia mnadhalilishwa kingono
JIONGEZENI wacheni kukaakaa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mwanamke gani wa kukudekeza hivyo mkulima wa mahindi?
Uwe rais udekezeke.

Kumbe na wewe una hisia kaka! Nikajua unawazaga chura tuu