Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Hata wife akinipa Hiyo saa hii kachelewa najua tuu kaiga kwa mama Obama



Pesa hazijawahi maliza shida unaweza ukawa nazo nabado ukateseka na mapenzi.


mtihani huo
Hahahaha mkuu utanivunja mbavu aseeHivi hizi vitu na baba Jesca nae anavipata kweli au ndio zile zake za kukesha na mafile kitandani
Au sio...... ! Endelea kujiuzaMwanaume asie na pesa wa kazi gani sasa? Yani animwagie shahawa zake hata hela ya sabuni hana huo si ufala.
Sent using Jamii Forums mobile app