Natafuta Mme !

kumbe bado upo na tangazo lako la kutafuta MME.........!
Ok katika pia pita yagu nikakutana na maneno haya some where and thought yatakufaa.

"FIRST DESERVE THEN DESIRE" ...........Rumi's Masnevi
 
mimi nina miaka 25, ninasomea udaktari mwaka wa tatu, chuo kikuu muhi2. Namtafuta mchumba mweupe mrefu na mwili wastani, awe chuo kikuu chochote hapa dar. Awe anasomea degree ya social sciences yoyote. Umri kuanzia 18-23. Niandikie at napaiya@hotmail.com
 
Du pole sijui kama utampata kwa njia hii,nakushauri ubadilshe staili la sivyo utajuta ....
 
Pole sana dadaake,lakini si mbaya,alishajisemea kayumba yote maisha.Bahati mbaya mie nimeshaoa kwani naona umekwama mtu.lakini si hoja sana kwa sababu mie ni muislam na tunaruhusiwa kuwa na mke zaidi ya mmoja bado kuna nafasi tatu zi tupu.All in all,kama dada yangu na kwa jinsi navyowafahamu wanaume sisi,hii njia uliyotumia kama kweli uko sirias,unahitaji unamakini wa hali ya juu sana vinginevyo ni lazima tujiandae kukubembeleza.Mie nina rafiki yangu anawapona sana watoto wa watu kwa staili kama hii yako,anaandika gazetini anatafuta mchumba,waliokwama kama wewe wanajitokeza na baada ya kuwaamisha kwamba kweli atamuoa kila mmoja kwa wakati wake(kwani ujitokeza wengi wakati mwingine ajali utaka kutokea),basi anaanza kuwapona mmoja mmoja,hivi niko nakuombea Mungu usije kukutana nae utaumia.TAKE CARE MY SISTER.
 
eeh kwani huko mwanza hakuna wanaume hadi uanze kutafuta humu,umeshajaribu kwenye magazeti ya udaku kule waume wa status wapo wengi kweli.try thode souces,kama mwanza magazeti hayo hayafiki sema tu tukupe website.
 
kuwa makini sana na maneno yako. Dunia hadaa.
Nakushauri tafuta mme kwa vigezo hivi.
1>Tambua mazingira anayoishi
2>Tabia yake
3>kazi/shughuli anazofanya

vinginevyo unajidanganya.
kumbuka binadamu wote si sawa.
kuna waongo, laghai,tapeli na wasio waaminifu.
 
sasa shule na vyuo vyote ulivyopita hujapata aliyekufuata? au hakuna uliona anakufaa?
1.kama hakuna aliyekufuata.
their's something wrong with you, you should try to defragment yourself upya kwani hata ukiolewa una hatari ya kuachwa mapema au kudanganywa.
2.kama hukuona anayekufaa
usijisumbue kutafuta mume kwani inaelekea wewe hupaswi kuolewa naamini wako wengi wazuri kote huko ulikopita. you'd better be a Nun yaani uwe sister kanisani umtumikie Mungu.ushuhudie maandiko.
 
umesoma kila banda la nchi hii, sasa fanyia kazi neno siple ila lina mana kubwa na muhimu. nalo ni "SWAT ANALYSIS" halafu nipe jibu na hilo ni kwa mazingira yote yanayokukabili.
 
Mimi naona wewe unaleta utani na mume, kama wanaume wangukuwa wanatafutwa hivyo basi kila mwanaume angeoa idadi inayotaka. Maana mademu wanoajitangaza kama wewe ni wale waliochoka na vibuti na mwanaume makini hawezi kuoa mke kama wewe.
 
hapo pazuri mke namtaka umri wangu 28 sina elimu ya masters lakini unyumba siyo elimu naomba ushushe qualifications
 
sawa hayo ni mawazo yako!siwezi kudevalue mawazo yako!but im serious

Kitu chochote ni maelewano hat Mr Ebo alitushauri tusiogope bei bali tupatane mwisho ttutaafikiana.
Mimi niko intrested na wewe lakini kama mbei naomba afueni ya masharti yako. Kwa kuanzia naomba upunguze sharti ya elimu kwani mimi ni std VII leaver (naweza nikajisomesha taratibu wakati tukiwa pamoja).
Naomba mapatano ya biashara yetu yaaanzie hapo
 
wapendwa wana JF
mimi ni binti mwenye umri wa miaka 28!
Napenda kuwasilisha ombi langu la kutafuta mme
sifa za ninaemtaka
awe na umri wa kuanzia miaka 25-na kuendelea!
elimu kuanzia masters na kupanda juu!

any one interested ani PM mengine tutafahamiana zaidi

Na hata hujawahi kuwa na mchumba? Na hata hawakusalimii? Tafuta kungwi akufunde namna ya kuaproach.
Vidato wala degree huku hakuna mama,,,, tafuta uwezo wa mume mwenye uwezo wa kuongoza familia. A man success is not how much money he has but what kind of family he has brought up.
 
wapendwa wana JF
mimi ni binti mwenye umri wa miaka 28!
Napenda kuwasilisha ombi langu la kutafuta mme
sifa za ninaemtaka
awe na umri wa kuanzia miaka 25-na kuendelea!
elimu kuanzia masters na kupanda juu!

any one interested ani PM mengine tutafahamiana zaidi
...Shaka ondoa mama kama kweli watafuta mume....Mi nahitaji mtu mwenye sifa kama zako nipe mawasiliano yako tufanye kweli mi ku PM sijui nini we niambie nikupate vipi, lini na wapi??
 
Mimi nina Phd tatu katika fani mbalimbali. Ninafaa? ni PM basi, ila ninaishi Mtwara ninalima tu, sijaajiriwa. Kilimo changu ni cha mkono nina umri wa miaka 40.
 
Dada Ng'walu kazana tu na kutafuta mtu mwenye qualifications unazotaka, wapo wengi tuu, utampata! Wasikusumbue hawa wanaokwambia shusha qualifications. Wewe sio ushuke, waambie wapande wakufikie wewe, this is your call, you get to decide on this one!
 
Dada Ng'walu kazana tu na kutafuta mtu mwenye qualifications unazotaka, wapo wengi tuu, utampata! Wasikusumbue hawa wanaokwambia shusha qualifications. Wewe sio ushuke, waambie wapande wakufikie wewe, this is your call, you get to decide on this one!

Swali ni je hao waliopo ni waoaji ama waonjaji?
 
wapendwa wana JF
mimi ni binti mwenye umri wa miaka 28!
Napenda kuwasilisha ombi langu la kutafuta mme
sifa za ninaemtaka
awe na umri wa kuanzia miaka 25-na kuendelea!
elimu kuanzia masters na kupanda juu!

any one interested ani PM mengine tutafahamiana zaidi

wahenga wanasema "debe tupu ndio lipigalo kelele".
mademu wa ukweli hawahangaiki kutafuta mume JF, wanaume huwa wanawafuata huko huko mitaani...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom