Natafuta mme wa kunioa

4cc96f113e6de6868da6f5a7a13b5bf7.jpg
hivi leo tarehe ngapi?
 
Mie ni msichana na umri wa 23 pia nina mtoto mmoja ana miaz6 nimezalishwa tu na mtu alonizalisha hanitaki na ictoshe ameoa mwanamke mwingine....kwaiyo atakae kua tayar kunioa na tuishi kwa amani nipo tayari
Umeanza mapenzi ukiwa na umri gani?tuanzie hapo halafu ujue kabisa umeachwa kwa sababu una kasoro.hakuna anayependa matatizo.ushauri wa bure we lea tu mtoto huyo ama jifanye kama umezawadiwa mtoto.kasoro zako baki nazo mwenyewe.
 
Watafutaji wengi humu mnazingua tangu nimeanza kuwafata pm hakuna hata mmoja ambaye amewahi kueleweka hivi mnataka wanaume wa namna gani kwamfano
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom