Unaitumie mgongo wa dini, we we mwenyewe guns sifa za kuolewa, UPENDO hauna masharti,sasa unaposema awe name kazi nzuri maanake aje name vyeti pamoja name sarary slip za mshahara? Ww unasifa gan? Nauhakika unamapenz maslah ndio maana ulozaa nae hakukuoa...usipoangalia utaishia Kuwa Nyumba ndogo