Natafuta mme miaka 35 and above

mwanamke umeshazalishwa halafu mashrti kibao

kakudanganya nani kama kuna wanaume wa mchezo

mtafite huyo aliyekutoa usichana acha vijana watoke

na vijana wenzao
 
Kwa masharti haya hupati mtu.kwanin ukuweka shart kuwa mme wa hiyo miaka awe na mtoto?kwa kigezo cha elimu hupati na natabil mwsho wake utampata std 7 asiyejua kusoma ndo atakukanyaga.ndio wale akiwa mke kama wewe na boss somewhere analeta vigezo hivi.mwisho anaolewa na dreva wake au mlinz wake.wanawake wenye mashart cku hizi wanaume awapati
 
Wakubwa wanafahidi ngoma inajipiga yenyewe wachezaj mko wapi,tatizo mkiwa na 18~25 mnanata sana nyie warembo ndo mana wanawapga mimba then wanawamwaga
 
Unaji over value mno... Una mtoto mmoja halafu una masharti ya "mweusi... mrefu... mkristu..." thamani yako sasa hivi ni kama gari lililotumika na kupata ajali, huwezi kuliuza kama jipya...


Mbavu zangu jamani.
 
Kwa malezi bora ya mtoto ni bora kuendelea na baba wa mtoto wako
 
Elimu yangu ni chuo kikuu na nina mtoto mmoja na nina miaka 31.mme awe na elimu ya chuo kikuu,miaka 35 and above,mkristu na awe mweusi na mrefu kiasi.aniPM

Historia yako inaweza kuwa hivi;
Denti la chuo kikuu mnato.
Kapata jibaba la lifti na chipsi akiwa chuo.
Boyfriend kugundua kamtema.
Binti kapata mzigo akajua akiutumia vizuri kumtisha BF basi atamrudia.
BF kagoma.
Mtoto kazaliwa.
Jibaba nalo likaingia mitini.
Bila kujifunza, akili ya mdada au mmama inamtuma kudhani kuwa bado yeye dili.
unafiki wa kuokoka au kujifanya anamjua Mungu

halafu safari ya pili ya maisha mnato inaanza.

breki ya kwanza JF na masharti kibao.
Breki ya pili TAMWA
 
Elimu yangu ni chuo kikuu na nina mtoto mmoja na nina miaka 31.mme awe na elimu ya chuo kikuu,miaka 35 and above,mkristu na awe mweusi na mrefu kiasi.aniPM

Sisi ambao hatujasoma sijui tutamuoa nani!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom