Natafuta mmama/Binti wa kunichua

Kacharimbe

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2011
Posts
216
Reaction score
35
Nimeandikiwa na daktari dawa fulani ya kuchua mgongoni. Napata shida jinsi ya kupaka dawa hiyo hivyo nahitaji mtu wa part time kwa ajili ya kunichua TU asubuhi na jioni
Posho: 10,000 kwa siku
Usafiri juu yangu
Ukitaka nije kwako pia naweza
Njoo PM
Niko Dodoma
 
Tafuta saluni za kiume hizi za kizazi kipya wanaita barbershop uone kama unaweza kupata hiyo huduma mkuu.
 
Aisee,pepo la ngono linakusumbua.Tafuta Mchungaji wa kiukweli akuombee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…