Luali
Senior Member
- Jan 1, 2013
- 101
- 11
Haya sasa nimeamua, ila usilete mashauzi, wala presha sina yaani natafuta mlimbwende anayejielewa na wala si malaika maana najua fika hakuna aliyemkamilifu ila natafuta mwenye hadhi ya kumvumilia makosa yake naye ayavumilie yangu na nitashukuru kupata manzi aliyepo Scandinavia yaani tu awe na heshima zake na mwenye kujitambua kama mwanamke zaidi ya yote dondoka kwa private tuone kama uhondo wa omo ni....