Natafuta Mkopo

Sijui ulipata jibu gani kule BankABC au Kwa rafiki. ila kwa mpango mzima you are right. Ila kwa basi kama unavyosema kwa mkopo si mbaya hata kidogo ISIPOKUWA kabla ya kuliingiza barabarani likatie bima kubwa (comprehesive). Mambo ya mapato ni juu yako. Uko sawa. Biashara nyingi za mabasi huwa zinatokana na mikopo. Unapokwenda benki usiseme nataka mkopo wa kununua basi HUTAPEWA. Njia nyingine ni kumwomba mtu mwenye biashara akuombee mkopo benki. Unapokwenda kuomba msaada pia uangalie majira. Kuna wakati ambao ukienda hutapata ila bra bra tu. Siku ya kuanzisha biashara yako pia usianzishe tu kwa kufuata theoties, hutafika mbali fuata majira. Kama huyajui nitafute kupitia JF helpline.
 
Umeshafanya mchanganuo kama biashara ya basi itarudisha hiyo 53m? Pia ni basi la aina gani? Kwanini huyo bwana amekubali kukupa basi kwa mkopo wa muda mrefu hivyo, mfanya biashara gani anatoa credit facility ya miezi 18 with 33m nje.

I doubt yeye anataka kuuza tu hilo basi.
Transport business ni ngumu sana tena ukizingatia ni mkopo - PLS DONT DO
 
Be very careful bro!
Mimi mwenye nina biashara ya daladala tokea nimeanza hiyo biashara is almost a year now.sijapata hata hela robo nilionunulia gari (I mean cash in acount)kila siku nikugomba na dereva au konda,esp kama wewe ni mfanyakazi utakufa na presha,ungekuwa una hizo hela cash na sio mkopo ningekuambia chukua hiyo gari.tatizo watu wanafanya theory kwenye biashara(mtu anapiga hesabu kwa siku 100,000x6aweek x 4amonth=2,400,000 toa 400,000 ya ukarabati.then 2M x 12miezi=24M.ukifanya theory inawezakana sana nunua gari weka barabara!utakuwa kila ukiona simu ya dereva inaingia unatamani kulia.
Ushauri ni mzuri ila we don't kuchagulia.
 
anko, mtu asikudanganye, wamiliki wengi wa mabasi wameanza kwa mikopo na bado wanakopa. Ila tu hilo basi lako likatie bima kubwa (comprehensive cover). Jambo jingine, ujue ni lini wakati muafaka wa kuanzisha shughuli hii. Nina maana uyajue majira la sivyo utalia. kuna nyakati ambazo hupaswi kuanzisha jambo lolote. Pia ukienda benki usiwaambie unataka pesa ya kununua basi kwani hutapewa mkopo ng`o.
 
wewe uza gari moja ambayo inaweza kukupa ten ml alafu nenda kwenye showroom nyingi tafuta coast au eisher alafu nenda crdb wambie nataka kukopa gari wao watakutolea asilimia 60 alafu na wewe utatoa asilimia 40 alafu wanachukua kadi ya gari unapiga kazi unalipa bank ukimaliza unachukua tena maisha yatasonga hata ukitaka scani na tela yake
 
I can see uko serious na unachokifanya. Naamini kama magari yako ma2 yana comprehensive insurance plus hii business plan yako unaweza ku convice Bank wakakupatia pesa 10millions si pesa nyingi sana.......Kila la heri. Keep us updated.
 
Back
Top Bottom