Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,402
- 12,787
Msubiri atakuja, huenda kapita sehemu kachelewa kurudi!
Msubiri atakuja, huenda kapita sehemu kachelewa kurudi!
Akili yako chache sanaaa
Tukitumia uzani wa mills unadhani nina milliliter kiasi gani kichwani?
Awe Mtanzani
Umri sio zaid ya 24yrs
Elimu walau diploma
Dini yeyote ile awe na hofu ya mungu.
Awe tayari kupima VVU na magonjwa mengine.
Aliye serious ani pm tutafahamishana zaidi
Ok. Mpigie kwa namba hii 0659179017. Mtaelewana wenyewe
Nani kaweka namba za mke wangu Monica hapa!! Blalifuli! Porokodiomadonna!!
Nikirudi toka Darfur tutaheshimiana tu.
Una nyumba
Maswali ya kijinga sasa hayo.
Guest house zipo na daladala zipo.
Una nyumba
Maswali ya kijinga sasa hayo.
Guest house zipo na daladala zipo.
Utapata kweli endelea kutafuta labda wamejificha
Utapata kweli endelea kutafuta labda wamejificha
Ok.
Thanks
We naye unakera,watu wako bize na kile kinachoendelea dodoma wa unakuja na masuala ya nke,nenda bar au makoroboi mwanza wako wengi tu.
Normal and heathly human being is needed to have atleast 1.5kg of brain, for heathly reasoning.
Ubongo wako inaoneka umeshrink thats y your reasoning capacity is questionable.