Natafuta mke

Mbulu

JF-Expert Member
Apr 15, 2015
5,620
5,510
Naamini mke nitampata humu, sijali Dini, rangi wala Kabila.
 
Wanadaraama sana kina desi wa huku........kila la kheri.........
 
acha kuwaya waya kama umekula maharage ya wapi sijui!!! mke gani unakuja kumtafuta jf usiku...hizo ni dalili za stress muzee!! hebu kimbia haraka corner baa pale utapata huyo unayemwita "mke"!! ukitoka hapo najua akili itakuwa imetulia na naamini hutarudi tena kwenye huu uzi.....haya kimbiaa haraka kabla hawajawa viporo!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom