Natafuta mke!

Natafuta mke!

Fasta

Member
Joined
Aug 20, 2012
Posts
23
Reaction score
4
Habari zenu!nina miaka 45,natafuta mke;awe na umri kuanzia miaka 40 na kuendelea na awe tayari kuanza maisha ya ndoa.KARIBU
 
Haya jamani mumemsikia jamaaaaa. Anaitwa Fasta Anatafuta mke.
 
Last edited by a moderator:
Habari zenu!nina miaka 45,natafuta mke;awe na umri kuanzia miaka 40 na kuendelea na awe tayari kuanza maisha ya ndoa.KARIBU

Hapo kwenye: Huo ni umri wa kudivorce si wa kuoa. Understand big boy?!
 
Habari zenu!nina miaka 45,natafuta mke;awe na umri kuanzia miaka 40 na kuendelea na awe tayari kuanza maisha ya ndoa.KARIBU

Hutapata wake wote wana wenyewe tafuta mwanamke
 
Haaaa! mh, hebu tusubiri tuone, wadada wa humu ni waoga wa eda sana!
 
hivi Mamndenyi alipata mchumba?
alikua na tangazo lake kule love connect kipindi flani
 
Habari zenu!nina miaka 45,natafuta mke;awe na umri kuanzia miaka 40 na kuendelea na awe tayari kuanza maisha ya ndoa.KARIBU
sina hakika kama kuna mtu anafanikiwa kupata mke humu, mtaani kwako wote ni wake za watu? ehm jaribu utatupa mrejesho!
 
unatafuta mke wa ngapi? mbona hujasema!!..

45 years old kuwa single kwa kiafrika afrika, yawezekana uko divorced, ama una watoto kibao nje...

njia njema mzee!
 
hivi Mamndenyi alipata mchumba?
alikua na tangazo lake kule love connect kipindi flani

hmm.. mamii una kumbukumbu wewe si mchezo!!

you are more than record management itself! lols!
 
unatafuta mke wa ngapi? mbona hujasema!!..

45 years old kuwa single kwa kiafrika afrika, yawezekana uko divorced, ama una watoto kibao nje...

njia njema mzee!

Visababishi ni vingi besti....you never know.
Wish him luck bhana!
 
Visababishi ni vingi besti....you never know.
Wish him luck bhana!

ok my friend.. it may happen!

labda mwenzetu alikuwa behind the bars from his 25yrs old!

enjoy this mleta uzi!

Last edited by a moderator:
ok my friend.. it may happen!

labda mwenzetu alikuwa behind the bars from his 25yrs old!

enjoy this mleta uzi!

Nakumbuka nimewahi kutana na mwanamme wa namna hii, baada ya maongezi marefu kiasi nikaona kweli its okey kwa yeye kutafuta mke despite his age factor!

Naassume na kwa huyu sio lazima sababu ziwe mbaya au za kizembe. Ila tu ingefaa awe muwazi zaidi.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom