Natafuta mke!

Natafuta mke!

PM zitamiminika usiwe na wasi, walengwa hawatokujibu hapa
 
..lol..
Yaani kwa umri wangu siruhusiwi kutafuta mchumba?
 
Ooh fasta hia am..nilikua natafuta pia mume of dat age seriously,lets contact
 
nionavyo mm ni vyema ukaenda sehemu za ibada huko nidiko utakapopata
ila hata hapa sio mbaya
 
Sioni ajabu,kuna watu status yao divorced twice and now they go for a 3rd marriage labda nae anaqualify,,,,,
 
Maskini,mi nshafika menopause,kwani unataka tuzae?
 
Nakumbuka nimewahi kutana na mwanamme wa namna hii, baada ya maongezi marefu kiasi nikaona kweli its okey kwa yeye kutafuta mke despite his age factor!

Naassume na kwa huyu sio lazima sababu ziwe mbaya au za kizembe. Ila tu ingefaa awe muwazi zaidi.
oh! you seem to be experienced with the issu my friend..!

iam too young to know all those.. i dont have such experience in my life ..
 
Tuko wengi.. Prayer and patience.. never give up
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom