Ohoo ata kazi sio zote utaomba kwa kufata vigezoπ€£ππVigezo na masharti kuzingatiwa
Watu mnatembea na fursaπHakija haribika kitu,
Nicheki PM ule mema ya nchi.
Hebu nisaidie kupiga domo ili upate wifi basi.Watu mnatembea na fursaπ
Subiri akija nakupambania mkuuπHebu nisaidie kupiga domo ili upate wifi basi.
Safi kabisa,kwenye harusi lazima nikupe cheo cha kusimamia upande wa vinywaji.Subiri akija nakupambania mkuuπ
Oyaaah utakuwa umewezaπ mgawa vinywaji ntayumba kuzidi waalikwaπSafi kabisa,kwenye harusi lazima nikupe cheo cha kusimamia upande wa vinywaji.
Barid ndo mi hupendaKama utaweza kustahamili baridi la mabarafu karibu sana.
We unataka mi niangukie pua,, ushauri wako sioππΎOhoo ata kazi sio zote utaomba kwa kufata vigezoπ€£
Basi nikuoe mimi tuHapana,,sasa umri huo mi sijafika npo chini ya io 30 huoni nakosa mume apo
We hauko seriousBasi nikuoe mimi tu
Kwa nini au mpaka nianzishe uzi?We hauko serious
Hapana huwezi kuangukia pua ndugu zako tukiwa hapa! Basi kavp muangalie ata kaka The icebreaker wiiiπWe unataka mi niangukie pua,, ushauri wako sioππΎ
Tafuta wasimbe na wanaojiuza hapo dar! Humu jf ni kwa wenye akili timamu na familia zao.
Huyo uliyemtag sio mimi,huyo aliiga tu ID yangu,mimi ni The IcebreakerHapana huwezi kuangukia pua ndugu zako tukiwa hapa! Basi kavp muangalie ata kaka The ice breaker wiiiπ
We mwenzangu ushapata!?,,man ulivo bize kunitafutia mimπHapana huwezi kuangukia pua ndugu zako tukiwa hapa! Basi kavp muangalie ata kaka The ice breaker wiiiπ
ππππππππΎππΎππΎMi wangu nakujua usijitetee sanaHuyo uliyemtag sio mimi,huyo aliiga tu ID yangu,mimi ni The Icebreaker