Natafuta Mke wa kuoa



Mkuu kuwa mkweli

Why hujapata mtu humu tangu 2022?
Mnashia kushindwana kwenye jambo gani hasa? Mimi naamini ukifunguka shida ilipo utapata unayemuhitaji
 
Vipi aliyezaa mtoto m1? Anafaa pia?
Piga simu haraka uolewe. Mtoto mmoja kitu gani! Tutampaleka kwa bibi Namtumbo. Nikiwa kama kaka yako ninapendekezela ukaanze maisha mapya ya ndoa na huyu kijana. Kama ni raha za dunia zote umezipitia. Hivyo hakuna jipya. Nenda ukatambulike sasa kama Mrs. True Man11
Muhimu tu ukubali kuokoka.
 
Mkuu wasichana wamejaa huko uliko hujampata hata moja? Basi Una shida sana
 
Nakubali kaka angu, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…