Mimi ni kijana mwenye miaka 28 sina mtoto , ni mpole na sitaki purukushani na mwanamke katika safari ya ndoa japo najua purukushani zipo ila ni zile za kiasili sio za ujinga ujinga sipendi , pia ni mpambanaji.
π Sema nini mwanetu, mwandiko wako unaonesha wewe sio mpole, ni mkali mno (very strict)
NATAFUTA MKE MWEMA WA KUOA..
BINTI AU MSICHANA awe na sifa zifuatazo:
1:Mkristo na mwenye hofu ya Mungu kweli kweli na awe mkweli ..
haujasema kama na wewe unayo hofu ya Mungu au la.
Au ndo utatumia hiyo hiyo hofu ya Mungu ya wife, bila kuja na yako? π€ .
4: Awe tayari kuitwa mama muda wowote na mwenye kujua thamani ya kua mke na kua mama na thamani ya mtoto na mume pia
hakuna kulaza damu, akifika tu geto ni TEGA NIKUTEGE, WEKA NIKULENGE. .
6: Asiwe amewahi kutumia vilevi vyovyote vile na asiwe anapenda mambo ya anasa na maisha mepesi mepesi ajue maisha ni kupanda na kushuka.. ni mwiko kuwa na tamaa na kulinganisha mumeo / ndoa yako na ya watu wengine
kama nakuona vile wakati ukiandikaa hiyo kigezo yako namba 6.
ππ½.
"asiwe anapenda maisha mepesi" (π unataka kumpeleka mtoto wa watu kambi ya JKT eeh?)
"ni MWIKO kuwa na tamaa"
ni
KIJIKO kuwa na kiherehere, ni
SUFURIA kuwa na kidomo.
ni KIKOMBE kuwa na jeuri.
7: Asiwe katoboa masikio zaidi ya mara moja, asiwe katoboa pua, kitovu au sehemu yeyote ya mwili wake , asiwe kachora mwili wake tatoo yeyote na asiwe mfuasi wa kucha bandia au mwenye kubadili rangi ya asili ya nywele zake na ngozi yake ajikubali alivyo umbwa
8: Asiwe mwongeaji sana wala mtu wa kukaa vibarazani ( magroup group) awe anajiheshimu na kujipenda yeye mwenyewe na awe mshauri mzuri kwangu na kwa watoto pia tutakao jaliwa
Mkuu, una uhakika kweli unaweza kusikiliza ukishauriwa?
coz bandiko lako hili linaonesha wewe ni mtu wa msimamo mkali..
9: Awe muwazi kwangu na msiri kwa watu wengine ajue kutunza siri za maisha ya ndoa yetu
10: Asiwe feminist, asiwe mwana harakati, na asiwe na mtazamo wa haki sawa .. awe anakaa kike - mwenye kupenda uanamke wake na mwenye kujikubali yeye mwenyewe
Kama upo teyari kua mke na unasifa hizo njoo pm
Nawasilisha
11. Awe kwenye simu yake ka-save namba zisizozidi 6 (namba yake mwenyewe, ya baba ake, ya mama ake, yangu, ya dada ake)
12. Asiwe na body-count (head count) inayozidi 0.
13. Akubali akivunja sharti lolote anaweza kulimwa kofi. (koffi olomide)
14. Akubali kuachana na social networks.
15. Asiunguze mboga.
akifika tu geto, anakutana na kibao kimeandikwa, "SASA UPO KWA NDOA, vumilia na KUWA MKAKAMAVU"
Unachukua laini yake unavunja, na unampa simu yako, wote wawil mnatumia hiyo hiyo. (mnashare simu)