hapo kwenye red una noti kiasi gani, mana ndo kitakachomfanya atulie,baadhi ya dada zetu wa siku hzi hcho ndo kigezoMimi ni kijana wa miaka 26 kabila langu ni mchaga na ni mkristo mkatoliki, nafanya kazi za kutengeneza ingine, gearbox na diff za malori. ninahitaji kuoa na ninatafuta mke. sifa za mke ninayependa kumuoa
1. Awe mwembamba lkn si sana
2.sina ubaguzi wa rangi lkn sitaki aliyejichubua
3. Awe na kazi hasa ya ualimu
4. Awe msafi sana
5. Awe mkristo mkatoliki na Awe mcha MUNGU sana
6. Awe mwaminifu sana
7. Awe na mapenzi ya dhati
kwa yoyote aliye tayari kuolewa na mwenye sifa hizo naomba aniPM
kwa mawasiliano zaidi
natanguliza shukrani za dhati
mapenzi ya dhati hayana uhusiano na hela hata km mume akiwa tajiri km mke ni mcharuko lazima atoke nje ya ndoa, KINACHOHTAJIKA NI MAPENZI YA DHATI NA WALA SI PESA.hapo kwenye red una noti kiasi gani, mana ndo kitakachomfanya atulie,baadhi ya dada zetu wa siku hzi hcho ndo kigezo
nina mdogo wangu yuko tayari kuolewa na ni mwalimu hapo mnazi pr Moshi, sifa zote anazo ila tatizo anapenda kula huyo! Anakula kama kiwavi jeshi, hlf anapenda vi2 vizurizuri tu, utamuweza??
kufunga ingine 1 ni laki 2 na fundi wa kawaida tu anaweza kufunga injine 4 kwa wiki hvy anauwezo wa kupata lak 8 per 1 wiki ambapo ni sawa na mshahara wa mwalimu wa miezi 3 tena na awe aamekazana sn kuuza visheti na mandazi hk shule, HVY ACHA KUBEZA KAZI ZA WATU WAKATI HY YAKO HAIMSAIDIIApate wapi?anataka mwalimu vile engine za kuunda zikikosa anaendelea na mshahara wa teacher!!!
mkuu usidharau kazi yangu kwani inanisaidia mimi na si wewe na kwa ufupi tu kwa kazi hii unayoidharau naweza kula mlo mzuri, kuvaa swaga zinazoeleweka, kumtunza mke hata km hafanyi kazi, kulipa kodi na mahtaji mengine. KWANI WEWE UNAFANYA KAZI GANI??Apate wapi?anataka mwalimu vile engine za kuunda zikikosa anaendelea na mshahara wa teacher!!!