Natafuta MKE WA KUOA

Big man

Senior Member
Sep 21, 2011
128
14
Mimi ni kijana wa miaka 26 kabila langu ni mchaga na ni mkristo mkatoliki, nafanya kazi za kutengeneza ingine, gearbox na diff za malori. ninahitaji kuoa na ninatafuta mke. sifa za mke ninayependa kumuoa
1. Awe mwembamba lkn si sana
2.sina ubaguzi wa rangi lkn sitaki aliyejichubua
3. Awe na kazi hasa ya ualimu
4. Awe msafi sana
5. Awe mkristo mkatoliki na Awe mcha MUNGU sana
6. Awe mwaminifu sana
7. Awe na mapenzi ya dhati

kwa yoyote aliye tayari kuolewa na mwenye sifa hizo naomba aniPM
kwa mawasiliano zaidi

natanguliza shukrani za dhati
 
hapo kwenye red una noti kiasi gani, mana ndo kitakachomfanya atulie,baadhi ya dada zetu wa siku hzi hcho ndo kigezo
 
hapo kwenye red una noti kiasi gani, mana ndo kitakachomfanya atulie,baadhi ya dada zetu wa siku hzi hcho ndo kigezo
mapenzi ya dhati hayana uhusiano na hela hata km mume akiwa tajiri km mke ni mcharuko lazima atoke nje ya ndoa, KINACHOHTAJIKA NI MAPENZI YA DHATI NA WALA SI PESA.
 
nina mdogo wangu yuko tayari kuolewa na ni mwalimu hapo mnazi pr Moshi, sifa zote anazo ila tatizo anapenda kula huyo! Anakula kama kiwavi jeshi, hlf anapenda vi2 vizurizuri tu, utamuweza??
 
nina mdogo wangu yuko tayari kuolewa na ni mwalimu hapo mnazi pr Moshi, sifa zote anazo ila tatizo anapenda kula huyo! Anakula kama kiwavi jeshi, hlf anapenda vi2 vizurizuri tu, utamuweza??

vitu vizuri kama vipi? Mbona kazi yake haimruhusu kumiliki vitu ninavyovijua?
 
Apate wapi?anataka mwalimu vile engine za kuunda zikikosa anaendelea na mshahara wa teacher!!!
 
Apate wapi?anataka mwalimu vile engine za kuunda zikikosa anaendelea na mshahara wa teacher!!!
kufunga ingine 1 ni laki 2 na fundi wa kawaida tu anaweza kufunga injine 4 kwa wiki hvy anauwezo wa kupata lak 8 per 1 wiki ambapo ni sawa na mshahara wa mwalimu wa miezi 3 tena na awe aamekazana sn kuuza visheti na mandazi hk shule, HVY ACHA KUBEZA KAZI ZA WATU WAKATI HY YAKO HAIMSAIDII
 
Apate wapi?anataka mwalimu vile engine za kuunda zikikosa anaendelea na mshahara wa teacher!!!
mkuu usidharau kazi yangu kwani inanisaidia mimi na si wewe na kwa ufupi tu kwa kazi hii unayoidharau naweza kula mlo mzuri, kuvaa swaga zinazoeleweka, kumtunza mke hata km hafanyi kazi, kulipa kodi na mahtaji mengine. KWANI WEWE UNAFANYA KAZI GANI??
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom