Natafuta MKE WA KUOA

Apate wapi?anataka mwalimu vile engine za kuunda zikikosa anaendelea na mshahara wa teacher!!!

wapi we 7bu yako haija tajwa, we unaeza ikawa unauza vi2mbua japo ni kazi yako hainisaidii inakusaidia ww mwenyewe ila sor kama nimekuuth,
 
Narudia tena. Vijana wa siku hizi mmezidi udomo zege. Mke hapatikani kwenye keyboard.
 
Mimi ni kijana wa miaka 26 kabila langu ni mchaga na ni mkristo mkatoliki, nafanya kazi za kutengeneza ingine, gearbox na diff za malori. ninahitaji kuoa na ninatafuta mke. sifa za mke ninayependa kumuoa
1. Awe mwembamba lkn si sana
2.sina ubaguzi wa rangi lkn sitaki aliyejichubua
3. Awe na kazi hasa ya ualimu
4. Awe msafi sana
5. Awe mkristo mkatoliki na Awe mcha MUNGU sana
6. Awe mwaminifu sana
7. Awe na mapenzi ya dhati

kwa yoyote aliye tayari kuolewa na mwenye sifa hizo naomba aniPM
kwa mawasiliano zaidi

natanguliza shukrani za dhati

oops! sifa zote ninazo' isipokua no.3 mmh! mie secretary.
 
Tembelea kwenye vyuo vya ualimu.

teh teh teh Ngoja nimuelekeze. Ndugu bigman wewe kwenu Moshi. Sasa usipate tabu nenda mpaka himo halafu panda gari za kwenda Kilema via mandaka. Waambie wakushushe Mandaka girls ttc.
Hapo mkuu naamini kabisa utapata umtakae tena wa dizaini yoyote wapo mpaka wa kanda ya ziwa. Hapo girls wamejaa wa kutosha tu kama elfu moja na zaidi. All the best mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom