Natafuta mke wa kuoa (usini shangae,usiponde niko siriazi)

MZEE SERENGETI

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
214
10
Wana JF,NEJARIBU BILA MAFANIKO SASA NIMEONA NGOJA NIWEKE WAZI KWENU,KWELI NAHITAJI KUOA KAMA KUNA MDADA ALIYE TAYARI KUOLEWA NAOMBA ANIANDIKIE KWENYE PRIVATE PROFILE NDIO TUTAWASILIANA VIZURI,KWA UFUPI,NINA WATOTO WA WILI.

NAOMBA USHIRIKIANO WENO BILA KUTUKANA.
 
Mzee Serengeti, ni vizuri ukiweka wazi mambo muhimu ili wanaotafuta nao waelewe, wavutiwe zaidi. Hao watoto wako 2 umewapataje, ndani ya ndoa au wamezaliwa tu bila ndoa? Mungu akutane na hitaji lako.
 
Wana JF,NEJARIBU BILA MAFANIKO SASA NIMEONA NGOJA NIWEKE WAZI KWENU,KWELI NAHITAJI KUOA KAMA KUNA MDADA ALIYE TAYARI KUOLEWA NAOMBA ANIANDIKIE KWENYE PRIVATE PROFILE NDIO TUTAWASILIANA VIZURI,KWA UFUPI,NINA WATOTO WA WILI.

NAOMBA USHIRIKIANO WENO BILA KUTUKANA.

Hujatuambia mama zao na hao watoto wako wapi mbona hujawaoa, au hawapo hai toa ufafanuzi please
 
Weka vigezo vyako na vya unaemtaka ili mtu asikufate huko alafu akute wewe sio au wewe uone yeye sio!!!!
 
Hao watoto wangu,nikiwa chuo MAMA YAO NILIMKUTA MJAMZITO NA HATIMAYE AKAJIFUNGUA NIKAONA BASI AENDELEE NA HUYO ALIYE MPENDA KWA MALA YA PILI,MAMA YAO NI MMOJA.YUKO HAI.
 
Vigezo asiwe darasa la saba,awe mtu atakaye weza kukaa na watoto wangu bila manyanyaso(awe kweli yuko tayari kuolewa.
 
Hao watoto wangu,nikiwa chuo MAMA YAO NILIMKUTA MJAMZITO NA HATIMAYE AKAJIFUNGUA NIKAONA BASI AENDELEE NA HUYO ALIYE MPENDA KWA MALA YA PILI,MAMA YAO NI MMOJA.YUKO HAI.

nimekuelewa hivi mtoto wa kwanza wakwako lakini wa pili ni mimba aliyopata ukiwa chuoni.
Pole MS weka basi vigezo tuweza kukuPM
 
Mzee Serengeti,

Kuwa na watoto sio issue (kwa upande wangu).

Nimeogopa kuwa asiwe darasa la saba. Mie nimeishia darasa la nne.

Halafu weka vigezo vyako kwa wazi tuelewe.

Ukinijibu tu naku PM
 
Vigezo vyote nnavyo hata ungekuwa na watoto kumi ila darasa la saba mie mwe!
 
Darasa la SABA na watoto wawili hawezi kuwa JF sasa hivi, sana sana atakuwa Ofisi za Bunge au Jimboni kwake kukagua miradi ya maendeleo!
 
Tule bingo ya maisha kwa kuwa kuolewa ndo mafanikio kimaisha au?

Nop, lakini ni njia nzuri ya kuijenga familia yako mapema maana dadaz mnawahi kuchoka (kuzeeka) kulinganisha nasi 'midume'.
 
Nop, lakini ni njia nzuri ya kuijenga familia yako mapema maana dadaz mnawahi kuchoka (kuzeeka) kulinganisha nasi 'midume'.

Mkuu kwani tunaishi kwa ajili ya kupata watoto? Au familia gani hiyo uloikusudia ?
 
Sijajua ni wakati gani mtu anaweza kuandika hoja ionekane ya msingi na kuondoa utani kama kweli uko siriazi,niandikie privte profile tuta peana maelekezo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom