alfanlully
New Member
- Nov 1, 2010
- 4
- 1
Hellow guys! natafuta mke wa kuoa... naona muda wangu umefika...
'
sifa
Awe mweupe soft color au black beauty.
Asiwe anakunywa pombe, wala kuvuta sigara
aswe changudoa,
Awe amemaliza form four na kuendelea,
Awe anajiheshimu pia na kuheshimu.
Anayejua kucare, and understanding
Awe na true love
Sichagui kabila, mkoa wala dini
Awe na umbo la kuvutia
asiwe mnene awe wakat kma anaelekea kwenye model hiviumri 18 mpaka 23,
Jinsi gani ya kunipata
use dic 0789444546
nitumie msg mie nitakujibu, usipige tafadhali wala kubip

kazi unayo, huu wote ni uoga wa kutongoza au una jambo jingine. jikakamue mtoto wa kiume, jitoe muhanga, tongozaHellow guys! natafuta mke wa kuoa... naona muda wangu umefika...
'
sifa
Awe mweupe soft color au black beauty.
Asiwe anakunywa pombe, wala kuvuta sigara
aswe changudoa,
Awe amemaliza form four na kuendelea,
Awe anajiheshimu pia na kuheshimu.
Anayejua kucare, and understanding
Awe na true love
Sichagui kabila, mkoa wala dini
Awe na umbo la kuvutia
asiwe mnene awe wakat kma anaelekea kwenye model hiviumri 18 mpaka 23,
Jinsi gani ya kunipata
use dic 0789444546
nitumie msg mie nitakujibu, usipige tafadhali wala kubip
kwa mavigezo yako ukimpata humu mi najinyea hapa hapa bora uende mwenyewe street ukawaface
Hellow guys! natafuta mke wa kuoa... naona muda wangu umefika...
'
sifa
Awe mweupe soft color au black beauty.
Asiwe anakunywa pombe, wala kuvuta sigara
aswe changudoa,
Awe amemaliza form four na kuendelea,
Awe anajiheshimu pia na kuheshimu.
Anayejua kucare, and understanding
Awe na true love
Sichagui kabila, mkoa wala dini
Awe na umbo la kuvutia
asiwe mnene awe wakat kma anaelekea kwenye model hiviumri 18 mpaka 23,
Jinsi gani ya kunipata
use dic 0789444546
nitumie msg mie nitakujibu, usipige tafadhali wala kubip
mbona wewe hujaweka sifa zako? umesema uchagui kabila wala dini je chama cha siasa?akiwa mpinzani?
Nenda kwenye nyumba za ibada waone viongozi wako wa dini, lazima watakupatia list ya wadada wanaotafuta wachumba, niliitwa na mtumishi flani hivi miaka ilee kabla sijampata shemejio na akaniuliza kwa nini siioi? au nashindwa kutongoza? na kama nashindwa basi yy alikua na list ya wadada, ndo nikabaini kua wadada wengi huenda kwa watumishi wawatafutie wenza, ila kaka, weye watafuta mke au binti wa kua mke? kama ni mke njoo nikuuzie wangu!!