Natafuta mke wa kuoa ambaye ni docta

Natafuta mke wa kuoa ambaye ni docta

Za leo wana JF,

Natafuta mke wa kuoa ambae ni daktari, awe mkristo, umri kwangu sio kigezo, na awe mcha Mungu, umri wangu ni miaka 32 na elimu yangu ni degree holder, nipo serious mwenye nia ani PM.
Fafanua Daktari wa aina gani?
 
Za leo wana JF,

Natafuta mke wa kuoa ambae ni daktari, awe mkristo, umri kwangu sio kigezo, na awe mcha Mungu, umri wangu ni miaka 32 na elimu yangu ni degree holder, nipo serious mwenye nia ani PM.
Tembelea hospitali mkuu.
 
Bro madaktari wapi jamii forums au hospitalini? Mbona maisha yenu ya mahusiano hawayachukuliagi serious?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom