Natafuta Mke wa kuoa aliye siriasi

Habari ya leo wakuu,

Natumia nyote mnaendelea vizuri kabisa

Kama nilivo andika katika kichwa Cha habari kuwa natafuta Mke Wa kuoa aliye siriasi na ambaye yuko tayari kuanza mahusiano ya ndoa

Mimi ni kijana wa miaka 30

Shughuri yangu mjasiriamali

Elimu yangu kidato Cha nne

Muonekano wangu ni mwembamba na rangi ni maji ya kunde

Naishi Dar Es Salaam

Mke nnaye muhitaji

Awe na elimu kuanzia kidato Cha nne

Awe maji ya kunde au mweupe

Awe na muonekano mzuri

Awe ni msikivu na mtii

Asiwe anatumia kilevi chochote

Awe mkweli na muwazi kwa kila kitu

Asiwe mbinafsi kwa kila pesa na vitu tunavyo kusanya aone kama ni vyetu si vya mmoja

Awe ni mtu anaye penda maendeleo ya pamoja kama familia si pesa ime patikana ana taka apewe ili anunue vitu vyake binafsi hilo hapana

Lazima tufanye Jambo kwa pamoja na tufanye maendeleo ya pamoja kama kujenga nyumba, kuanzisha miradi mipya n.k

Hata kama hauna shughuri ya kufanya tuta fanya wote shughuri nnazo fanya

Uliye siriasi unaweza kuni tafuta pm ama kwa email yangu travoradriano@gmail.com

Sita jibu comment hapa public pia kutokana na baadhi ya members kupinga post za namna hii sito jali kwa utakaye ongea baya lolote najua yote yana pita tu

Muhimu lengo langu ni moja tu natafuta Mke
Yuko mmoja vere siriaz lakini ni mgogo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom