Natafuta mke wa kumuoa

Natafuta mke wa kumuoa

Kwa umri huo kupata mke mbona easy mzee wangu,hapo Ili mambo yasiwe mengi tafuta singo maza mwenye miaka 38-45 na huko iringa wapo wengi sana
Usitake kujibebesha kitoto Cha 2000 kitakusambaratisha mapema sana kwenye uso wa dunia
Yoyote yule atakayetokea sawa tu,maana niko fiti kwa kila kitu
 
Niko Iringa natafuta mke wa kuowa miaka yangu ni 50,nilikuwa nina mke lakini kapata matatizo ya changamoto za akili imebidi nimludishe kwa wazazi wake,mda mwingi nimeishi inje ya inchi toka mwaka 1997 sasa nimeludi Tanzania nimepoteza koneksheni zote maana yake sina marafiki
"Mjomba wako junior anakuita nje uende ukamuoshe" alisikika shemeji yake akimuita.
 
Niko Iringa natafuta mke wa kuowa miaka yangu ni 50,nilikuwa nina mke lakini kapata matatizo ya changamoto za akili imebidi nimludishe kwa wazazi wake,mda mwingi nimeishi inje ya inchi toka mwaka 1997 sasa nimeludi Tanzania nimepoteza koneksheni zote maana yake sina marafiki
 
Nimeshajikatia tamaa sikujua kupata mwanamke wa kuowa Tanzania ni vigumu hivi,kibaya zaidi hata madada poa hapa ninapoishi wanasura mbaya sijapata kuona ngoja nijiludie zangu huko kwenye vurugu nikakomae hivyohivyo

Hakikisha una PESA kwanza.

At ur age , we expect two things kutoka kwako

Money and wisdom
 
Mke wa miaka 26
Kasahaulika ndani ya miezi mi4
Vipi imethibitika hawezi kupona mkuu?
 
Back
Top Bottom