Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 47,200
- 188,727
Uongo mweupe sana huu. Mwaka huu sherehe za kuukaribisha mwaka mpya AIM mall nilimuona, huna urefu wa Barnaba akufikie kiunoni na si ajabu mnaweza kuwa sawa sawa tu.Picha tu huyo..huyo dogo barnaba mimi nikisimama nae ananifikia kiunoni..yani anaonekana ni mdogo wangu wa mwisho