Natafuta mke wa kuanza naye maisha

Sikuhizi usipokua na kazi wala shuguli huolewi
Ni vile mambo yamebadirika. Huwezi kumtegemea mume kwa kila kitu lazima na wewe ujishughulishe. Kumbuka siku hizi tumejijengea tabia ya watoto kuwapeleka shule za kulipia ili nao wapate elimu ya ushindani. Hebu fikiria zile shule gharama zake ni milioni kabisa. Baba bahati nzuri nina kamshahara, je huo mshahara tu ndo tule nyumbani?, ndo tusomeshe watoto shule hizo ? Tulipe pango? Vipi kuhusu familia maana kuna wazazi waliotulea lazima watutolee macho wakipata shida. Hivyo ni lazima wote wawili muingize kipato ndipo hata kujenga kutakuja bila hivyo maendeleo yatakuja lakini kwa kuchelewa sana. Ila ugomvi ndani hautaisha. Maana hela itakuwa inaisha mapema halafu mahitaji bado.
 
Tunajua
lakini pengine hata wewe una uwezo wa kumpa hio shuguli ya kujishugulisha ( au napo pagumu mkuu)
Mi nafikiri tafuteni wanawake wenye vision ambao hata ukiwapa/ukiwatafutia shuguli watafanya ,mtashauriana,mtashirikiana kujenga familia pamoja kama kitu kimoja.
Hilo swala la Awe na kazi/biashara naona kama lina ukali sana, maana wapo wasionavyo kwasababu fulani fulani ila wanaweza kuwa mke bora unaemhitaji endapo utawawezesha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa umenena vyema. Nalo litazingatiwa
 
Una akili nzuri we mdada 💪
 
Kila la kheri wamekusikia, uwe makini na PM yako manake watakuja huko, ila mabinti wadogo wadogo wanakuwa sasa sijui hii hali itakuisha na kama haitakuisha basi kwa mbele kidogo utakuta u-turn utarudi kutafuta tena binti mdogo mdogo wanao kuvutia!

Waiter sikusema uje na glass na nilikuambia ya moto....
 
Huko PM ukiona kuna kuelemea mjumbe nipo nitasaidia kuchakata huu mchakato najua si haba......
#Waungwana
 
Wenye miili ya kina barnaba mna hila na gubu sijapata ona..😂😂😂
Kila la kheri kwa mwanamke mwenzangu.
 
......jipange kwanza kimaisha,
Wanaume wengi waliooa mke mwnye mtoto walijuta baadae....kumbuka mtalaka hatongozwi...

kubali au ukatae,kuna siku litatokea tukio ambalo litalazimu kuwaunganisha baba halali wa mtoto na mama yake....hata kama wataungana kwa masaa mawili tu....

Anyway, all the best na umatangulize Mungu mbele....ndoa si lelemama..
 
Tunajua
lakini pengine hata wewe una uwezo wa kumpa hio shuguli ya kujishugulisha ( au napo pagumu mkuu)
Mi nafikiri tafuteni wanawake wenye vision ambao hata ukiwapa/ukiwatafutia shuguli watafanya ,mtashauriana,mtashirikiana kujenga familia pamoja kama kitu kimoja.
Hilo swala la Awe na kazi/biashara naona kama lina ukali sana, maana wapo wasionavyo kwasababu fulani fulani ila wanaweza kuwa mke bora unaemhitaji endapo utawawezesha

Sent using Jamii Forums mobile app

Kipimo gani kitumike kujua mwanamke Huyu ana vision au hana na kwamba akiwezeshwa ataweza ?

Siyo rahisi sana kuamua uoe au uolewe na mtu asiye na kazi huku ukitarajia atapata ajira au kuanzisha biashara ikaendelea kwa uhakika!

Wengi wamebaki kuwa Mama wa nyumbani au baba wa nyumbani!
Akishaingia ndani ameingia, wengi wao kila akitafutiwa kazi anaitia ila kusema hivi na vile au kama ni biashara ataitoa Sababu kibao!

Ndiyo maana wengi hupendelea wamkute mwanamke ambaye tayari ameajiriwa au kujiajiri kwa uhakika na siyo mashaka!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom