Tulia kwanza.Mambo mengine baadaye,wanawake hawaishi
We hujamwelewa..... anatafuta mke wa kumlelea watoto thus y yupo faster!!
Nimemwelewa sana.Kama ni suala.....bado umuhimu wa kutulia ni busara sana, ana hakika gani huyo "mke" atakayemapata kama ataweza kuwalea vyema watoto wake.
Kwa nini kama ishu ni kulea watoto asitafute HG au amchukue ndugu yake asiye na majukumu mengi aishi naye hapo kwake.
Kumleta mke sasa hivi ni risk, anaweza kujikuta anaongeza matatizo juu ya matatizo, "Mke haeleweki kwake, watoto nao hawamwelewi/kuelewana na mama wa kambo"
Kisasi @work!!
Mbona mnatukatisha tamaa tulioachika kutafuta wanawake wengine!
Nimeachwa na mke!nina watoto wawili ila huyu wa pili nina mashaka kama ni wangu!mke wangu amejitahidi sana kunioneshea kuwa sina changu ila nilikuwa nampotezea sana.Ameamua kuolewa kinyemela sitaki kukamata ugoni!Sitajali akiwa na mtoto mmoja.Nahitaji mtu anayejua maisha.Samahani sitahitaji aliye chini ya miaka 28!
Basi kama mzee nahisi kakimbia kutokana fimbo shida kusimama. Na hata huyo mtoto wa pili pengine ni kweli si wako, kama ni mzee na fimbo hisimami utatiaje mimba?
atakufaa mzee mwenzio, vijana kama mie watakukimbia tu