Natafuta Mke / Ndoa 2026

Natafuta Mke / Ndoa 2026

Erick2025

Member
Joined
Dec 15, 2025
Posts
24
Reaction score
64
Habari za hapa wana jukwaaa!! nimeingia JF kwa lengo la kutafuta mwenza wa maisha, mimi naamini popote inawezekana kwa uwezo wa Mungu.

Mimi ni mwanaume wa miaka 36
Mrefu - maji ya kunde
Sio mnene sio mwembamba
Naishi dar es salaam
Nafanya kazi na biashara
Mkristo / Lutheran

Mke nayemtafuta:
Umri 23 - 33
Asiwe mnene wala mwembamba saana
Awe mrefu kiasi (asiwe mfupi)
Kabila lolote,
Akiwa mweupe kiasi nitafurahi zaidi (ila sio lazima hata maji ya kunde + chocolate colour sawaa)
awe mtanashati, mzurii na nayejitambua.

Naomba PM kwa aliyekuwa serious tu, au kama una ndugu ama rafiki naomba masaada wa connection.
kama atakuwa nje ya mkoa wa dar es salaam hata iwe wa kijijini ni sawa ila awe tayari kuja dar kuonana baada ya mawasiliano.

Asanteni saana
 
Mi huwa inanifikirisha guys.inakuwaje mwanaume uko kikamilifu unapata tabu hivi kupata mwenza?

Labda tuseme wengine tuna changamoto...

Au mnachagua sana?
Mna aibu?

Anyway Mungu akupe hitaji la moyo wako kama ni genuine
 
sio kila mwanamke ni mkee!!

wenza tunapata na wanapatikana easy kabisa, ila mke ni mkeeee
 
Habari za hapa wana jukwaaa!! nimeingia JF kwa lengo la kutafuta mwenza wa maisha, mimi naamini popote inawezekana kwa uwezo wa Mungu.

Mimi ni mwanaume wa miaka 36
Mrefu - maji ya kunde
Sio mnene sio mwembamba
Naishi dar es salaam
Nafanya kazi na biashara
Mkristo / Lutheran

Mke nayemtafuta:
Umri 23 - 33
Asiwe mnene wala mwembamba saana
Awe mrefu kiasi (asiwe mfupi)
Kabila lolote,
Akiwa mweupe kiasi nitafurahi zaidi (ila sio lazima hata maji ya kunde + chocolate colour sawaa)
awe mtanashati, mzurii na nayejitambua.

Naomba PM kwa aliyekuwa serious tu, au kama una ndugu ama rafiki naomba masaada wa connection.
kama atakuwa nje ya mkoa wa dar es salaam hata iwe wa kijijini ni sawa ila awe tayari kuja dar kuonana baada ya mawasiliano.

Asanteni saana
Sifa zote dada anazo ila sasa mimi nanufaika vipi shemeji ?
 
1. Unapohitaji mke kwa uwazi hiv mwamba, jitahidi kumuomba sana kwa imani yako upate aliyemwema, maana hapa unaweza pata mawakala wa imani mbaya, mikosi, mabalaa, gen z pamoja na laana zote za familia anayotoka huyo mtu.
2. Funga na kuomba kwa imani yako
3. Jitahidi kuoa familia au ukoo ambao una historia nao nzuri maana unaweza oa familia ambazo zina mikataba ya kuzimu
4. Jitahidi sana kuwashirikisha wazazi pindi unapo tafuta mke, kumbuka huyo si mpenzi bali ni mke (kama hauna wazazi basi hata ndugu wa karibu wenye umri mkubwa maana hawa wanaona mbali sana)

5. SIKUTISHI ISIPOKUWA KAMA HAUTAOMBA KWA IMANI YAKO, NAKUONA UKITAPELIWA KINDOA NA KUISHIA KUKATA TAMAA AU KUDUMBUKIA PABAYA SANA, MUOMBE SANA MUNGU WAKO AU NGUVU ZAKO KWA IMANI KALI SANA"
 
Asante sana kwa ushahuri wako mzuri sana.,
ila kuhusu kuomba ni lazima na kufatilia kwa makini saana, kumbuka sio kutafuta mke hapa ni shida ama sio sehemu sahihi, waliokuwa katika jukwahili ndiyo sisi sisi binadam ambao tunakutana nje ya hapa bila kufahamiana, namaanisha kuwa waliokuwa hapa ndo hao hao tunaweza kukutana hata katika maombi, maofisini, sokoni na kwingineko!

tuacheni kasumba ya kuwa mtu kutafuta mwenza hapa ni amekwama au ameshindwa ama eti hajui kutongoza hapana, humu ndani kuna hadi wachungaji mashekhe, wanaojiheshimu na wasiojiheshimu.

unaweza kuingia katika mikosi ya mwenza wako hata kama umempata kanisani / msikitini, muhumi ni kuomba sana mungu upate mtu sahihi.

ndiyo maana hata machangudoa kuna muda unakutana nao sehemu unaamini ''mke huyu hapaaa'' kumbe usiku anauza mwili wake wenye dhamani kubwa kwa dhamani ndogo saana.

bythe way good advises. asanteee
 
mahari utapata % shemejii,
ila kama kweli upo serious naomba ni PM
Niko serious ,yaani mimi kwenye mahali siwezi itwa na wazee wa kwetu wamenidharau sana na hizi pombe zangu ,mimi nataka kama unakubali unikatie pande langu chap alafu mambo ya mahali mtajuana na hivyo vizee vyetu ila niwe nimekula ,sheria siri tu shemeji .

Huyu naona anataka kuozea hapa nyumbani .
 
Habari za hapa wana jukwaaa!! nimeingia JF kwa lengo la kutafuta mwenza wa maisha, mimi naamini popote inawezekana kwa uwezo wa Mungu.

Mimi ni mwanaume wa miaka 36
Mrefu - maji ya kunde
Sio mnene sio mwembamba
Naishi dar es salaam
Nafanya kazi na biashara
Mkristo / Lutheran

Mke nayemtafuta:
Umri 23 - 33
Asiwe mnene wala mwembamba saana
Awe mrefu kiasi (asiwe mfupi)
Kabila lolote,
Akiwa mweupe kiasi nitafurahi zaidi (ila sio lazima hata maji ya kunde + chocolate colour sawaa)
awe mtanashati, mzurii na nayejitambua.

Naomba PM kwa aliyekuwa serious tu, au kama una ndugu ama rafiki naomba masaada wa connection.
kama atakuwa nje ya mkoa wa dar es salaam hata iwe wa kijijini ni sawa ila awe tayari kuja dar kuonana baada ya mawasiliano.

Asanteni saana

Niko serious ,yaani mimi kwenye mahali siwezi itwa na wazee wa kwetu wamenidharau sana na hizi pombe zangu ,mimi nataka kama unakubali unikatie pande langu chap alafu mambo ya mahali mtajuana na hivyo vizee vyetu ila niwe nimekula ,sheria siri tu shemeji .

Huyu naona anataka kuozea hapa nyumbani .
sawa kabisa shemejiii, naomba nitumie namba yako DM tuongee serious
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom