kwaku the traveler
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 308
- 853
hapana mkuu naweza nikapataMke JF? Mkuu unepotea
Duh noma aiseeMke JF? Mkuu umepotea
Kama unataka mke wa kukaa naye miaka nenda rudi angalia huko mtaani kwako ! Hawa wa mtandaoni ukikagua simu zao wana BADOO! TAGGED !TINDER! SNAPCHAT! Na nakuhakikishia kila mwanamke yuko mitandaoni kwa mambo tofauti tofauti ila katika hayo tofauti tofauti kuna hilo la kusaka ngekewa! Ukitaja dau zuri Mfano Unasema unampa 3M kukutana na mnakutana Mfano Qatar au Bahrain au hata Bangkok, Macau mle maisha week moja, mademu wengi watawakana hata waume zao na mabwana! Na Wengine watasema wana bikra kabisa,
Hivo basi hao wa mtaani ndo hawa hawa wa mtandaoni, ila bora shetani unalolijua kuliko Fisi mwenye mgozi ya Kondoo
Wale wenye mademu mko hapa
Kwenye photo Gallary kuna Sehemu ya HIDEN PHOTOS wanaweka either Face ID kufungua au wanaweka password zama huko, mademu zenu na Wengine tunawaheshimu hadi wake za wachungani wanatutumiaga view once kwa 50$,
Pili Ingia kwenye simu ya demu wako saka maneno haya kwenye whatsap messages
1. Nude
2. Pregnant
3. Condom
4. Row (Bila Kondom)
5. P2
6. Abortion
7. BNB (Lodge , Hotel)
8. Cum
9. Sex
10. Hiv
Hutakosa neno
Alafu ingia kwenye map routes za Bolt au Grab uone hotels anazopelekwaga 😀😀😀
Kama mesej wanafuta kuna anti delete codes nilikuwa nalipia dollars kadhaa Hiyo app inarejesha mesej zote ! ***** ndo maana sitakuja kuamini mwanamke kula Tambaaa
Kwan Umri umeenda sanaumri ushanikosesha mume dadeq,, ila mi siwez kuishi bila wew jamni😭😭
kikubwa awe safe tu bila magonjwa mengine tutavumilianaUnae mtafuta kuwa mke kishakuwa mke wa mtu alipokuwa chuo😂🤣
Muamuru akuoe kabla hujafanya muujiza mkuu.umri ushanikosesha mume dadeq,, ila mi siwez kuishi bila wew jamni😭😭
DaahMke JF? Mkuu umepotea
Kama unataka mke wa kukaa naye miaka nenda rudi angalia huko mtaani kwako ! Hawa wa mtandaoni ukikagua simu zao wana BADOO! TAGGED !TINDER! SNAPCHAT! Na nakuhakikishia kila mwanamke yuko mitandaoni kwa mambo tofauti tofauti ila katika hayo tofauti tofauti kuna hilo la kusaka ngekewa! Ukitaja dau zuri Mfano Unasema unampa 3M kukutana na mnakutana Mfano Qatar au Bahrain au hata Bangkok, Macau mle maisha week moja, mademu wengi watawakana hata waume zao na mabwana! Na Wengine watasema wana bikra kabisa,
Hivo basi hao wa mtaani ndo hawa hawa wa mtandaoni, ila bora shetani unalolijua kuliko Fisi mwenye mgozi ya Kondoo
Wale wenye mademu mko hapa
Kwenye photo Gallary kuna Sehemu ya HIDEN PHOTOS wanaweka either Face ID kufungua au wanaweka password zama huko, mademu zenu na Wengine tunawaheshimu hadi wake za wachungani wanatutumiaga view once kwa 50$,
Pili Ingia kwenye simu ya demu wako saka maneno haya kwenye whatsap messages
1. Nude
2. Pregnant
3. Condom
4. Row (Bila Kondom)
5. P2
6. Abortion
7. BNB (Lodge , Hotel)
8. Cum
9. Sex
10. Hiv
Hutakosa neno
Alafu ingia kwenye map routes za Bolt au Grab uone hotels anazopelekwaga 😀😀😀
Kama mesej wanafuta kuna anti delete codes nilikuwa nalipia dollars kadhaa Hiyo app inarejesha mesej zote ! ***** ndo maana sitakuja kuamini mwanamke kula Tambaaa
mwanamke BoraUnatafuta bora mwanamke au mwanamke bora?
nisaidie basi😄Muamuru akuoe kabla hujafanya muujiza mkuu.
ndio umeenda mno aseeKwan Umri umeenda sana
subiri wanakuja
all the bestmwanamke Bora