KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,871
- 40,012
Daktari wa mitishamba....na tiba asilia.....
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Nimechoka kuwa mchepuko nataka niwe njia kuu sasa
mbona mm ni njia kuu yako?
Nawewe mpambe mxiuu!ukute unasonya hapa kumbe tayar umesha pm namba
Wewe una njia kuu ngapi?
ninanjia kuu moja tu ambayo ni ww,,, mbona hujiamin?
kamata fursa utakua unachomwa sindano za bure....lol
hahaa mtu na mpenzi wake mkichomana sindano mwisho itakatika tu
hawa watu maraya wakutupa!!!! ctaki hata kuwasikia
Daktari halafu single?
We sema ukweli unataka wa kugegeda tu..
mimi ni mwema ila nina 40 can we??????????
mimi nina miaka 40 lakini mambo yangu kama tu wa miaka16Sweet16 una 40 kweli? Hiyo 16 ni nini?
Ni daktari niko singo namtafuta mke awe na umri kuanzia 22-27 elimu 4m 4 -- chuo ani pm